Kung'olewa kwa Lowassa kwaokoa 15 billion

Chibingwa

Member
Jan 17, 2008
49
7
Kama mheshimiwa EL angeendelea kubaki MP wa nchich yetu tugejikuta tunalambwa ma bilion ya shilling imefahamika.
Mvua ya Thailand maarufu kama mvua ya Lowassa kama makubaliano ya kimkata yagefikiwa ingeligarim kiasi cha pesa za kitanzania bilion kumi na tano.
Taarifa ya mvua hizo, zilikuja baada ya aliyekuwa PM mheshimiwa EL kutembelea nchini Thailand na kutengeneza dili kwa kisingizio cha kukabiliana na ukama katika mabwawa yanayozalisha umeme, likiwe la Mtera na Kidatu, ambayo kwa wakati huo kina cha maji kilishuka na kusababisha serikali kuingia mkata wa kihuni na kampuni hewa ya Richmond.
 
Nadhani EL ni mla rushwa mpaka anajiogopa mwenyewe. Ukitaka kumjua mtu fatilia historia yake na utatambua yeye ni nai. Pamoja na mapato aliyokuwa akipata serikalini alina haitoshi na kuamua kutuibia kwa kusaini mkataba wa kutengeneza mvua. Inashangaza sana

Tanzania ni yetu na ni sisi wenyewe ndiyo tutaijenga
 
Kelele za mlango sasa hiyo dili nani alisema kama imekufa ? Hapa watu watachota mpaka itokee kweli kama kule kwa Mabutu .
 
Nadhani EL ni mla rushwa mpaka anajiogopa mwenyewe. Ukitaka kumjua mtu fatilia historia yake na utatambua yeye ni nai. Pamoja na mapato aliyokuwa akipata serikalini alina haitoshi na kuamua kutuibia kwa kusaini mkataba wa kutengeneza mvua. Inashangaza sana

Tanzania ni yetu na ni sisi wenyewe ndiyo tutaijenga

Mpo nae ufipa street sasa.
 
Back
Top Bottom