Kung'ata meno kunaambukiza Ukimwi?

Kung'ata meno kunaambukiza Ukimwi?

Last edited by a moderator:
Mbona mnatuchanganya sasa, kuna wataalamu wanasema kuwa mpaka kuwe na michubuko
Kati yenu ndio uwezekano wa maambukizi unaweza tokea.
Sasa tuamini nini??

ni kweli hadi kuwe na michubuko kwani una hakika gani kama hakukuwa na michubuko? eneo lenyewe linafichwa kwenye joto muda wote. ndio maana namalizia kwa kusema kupima ndio kupata uhakika.
 
mwanaharakati Boflo habari yako?iko hivi kwa ujumla maambukizi ya ukimwi hutokea pale kunapotokea blood contact au majimaji mengine ambayo hiv virus anaweza kuishi ya mtu mmoja mwenye virus vya hiv na mwingine asiye kuwa nayo

hivyo njia za maambukizi zipo nyingi,kwa kesi yako,kama aliutafuna uume wako kiasi cha wewe kuumia hivyo alitengeneza uwezekano wa damu kutoka,kinywa cha mtu kutoa damu ni jambo la kawaida sana,hivyo kama fizi zake zina tatizo la kutoa damu hivyo kama ana maambukizi ya virus vya hiv,virus hivyo vinaweza kusafiri kutoka mwilini mwake kupitia damu yake ya kinywani kupitia uume wako kwenye mikwaruzo na wewe ukawa tayari umepata maambukizi

hata hivyo habari nzima ya maambukizi inataka tusiishie ktk kuangalia njia tunayoweza kuwa tumepata maambukizi bali tupime kabisa

wewe hutaki kupima haina shida ila ishi ukijua tendo lile ulilofanya maambukizi ya virus vya hiv yanawezekana!
 
Boflo, nenda kapime bana tena kumbe ishapita miezi 6?nenda fast,unajua arv na zenyewe ukichelewa kutumia hazifanyi kazi vizuri,wahi ujijue mapema uanze dozi mapema,mbona siku hizi kawaida tu
 
ndugu hapo utakuwa umeukwaa sawa eee:israel:
 
Back
Top Bottom