Kungangania madarakani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kungangania madarakani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nick, Oct 29, 2009.

 1. N

  Nick Member

  #1
  Oct 29, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 55
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  WATU WANAONGANGANIA MADARAKANI.
  Imekuwa aibu na fedheha pale anayetakiwa kuachia ngazi na badala yake kuendelea kushika nafasi hata kwa njia yo yote ile.
  Hii imetokea hospital ya rufaa mojawapo inayoendeshwa na KKKT. Jamaa anadiriki hata kutumia njia za giza ili tuu awe kazini. Imetangazwa rasmi kuwa atastafi rasmi November hii ila yeye bado haridhiki tuu na kwa sasa anahaha kurubuni viongozi wa KKKT Dar ili apewe tena kipindi kingine.
  Wafanyakazi wote sio tuu madaktari bali hata wahudum wamekero na yeye kuwepo kwenye uongozi. Naomba uongozi wa kanisa wasimsikilize kwa lo lote lile na kumrudisha tena kwa kigezo eti HAKUPATIKANA MHUSIKA WA KUCHUKUA NAFASI YAKE NA KANISA LIMEMWOMBA KUONGEZA MUDA TENA. Kweli hii itakuwa kero sana sio tuu wafanyakazi bali hata kwa nchi nzima.
   
 2. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Chief NSHOMILE nini?
   
 3. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Nyingine hii hapa...Ngombe!!?
   
 4. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2009
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Be serious Nick, Unashangaa Mende ******??
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kaaazi kwelikweli NGANGANIA ............ haraka ya nini unakimbizwa au unawahi kuua nyoka!
   
Loading...