UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 566
Ukizidiwa na huwezi hata kunyanyua mkono mwambie mkeo kuwa asiite watu wa kukusaidia, maana wewe na mke wako ni jeshi kamiliWadau Hii Kwangu Binafsi Naona Kero Sana Nikipata Faradh Ya Kuumwa Malaria Huwa Namwambia Wife Asiambie Watu Wengi.Kwakuwa Mtu Unakula Mipunje Ya Dawa Umechoka Unahisi Kufa Halafu Ngo! Ngo! Ngo! Ngo! Kila Baada Ya Dakika Kadhaa Huwa Nawachuniaga.Au Mnaonaje Wadau?
Si uweke utaratibu wa kufanya "status briefing" let say kwa siku mara moja!! Saa tisa alasiri.[HASHTAG]#lwenyi[/HASHTAG] Uliwah Kuugua Nyumbani Kwako Jumla Ya Watu 50 Ndugu Na Marafiki Wanapishana Kukuangalia Mpaka Unachoka Kuwajibu. Unanyamaza Halafu Homa Yenyewe Malaria Tu Mapunje Ya Dawa Yanakuchosha.
wageni kuja kukujulia hali kwako ni faraja na pia wanaungana kukuombea sasa mtu asiyependa watu waje kumfariji wakati wa shida ni mchawi na mchoyo tu. unahisi watakujaa kunywa juice yako au? kama hujisikii kuongea kwann usimuambie mkeo kwamba wakija hautaamka kuwasalimia ila kukutizama ruksa kwani shida iko wapi?[HASHTAG]#lwenyi[/HASHTAG] Uliwah Kuugua Nyumbani Kwako Jumla Ya Watu 50 Ndugu Na Marafiki Wanapishana Kukuangalia Mpaka Unachoka Kuwajibu. Unanyamaza Halafu Homa Yenyewe Malaria Tu Mapunje Ya Dawa Yanakuchosha.
Daaah mkuu hupendi watu wakujulie hali
nimekuelewa hutaki usumbufu ukiwa unaumwa[HASHTAG]#joseverest[/HASHTAG] Hata Wewe Unashindwa Kuelewa Nilichokiandika?
Kwani alikuja mchimba kabri, mshona sanda, na mkamuajiWadau Hii Kwangu Binafsi Naona Kero Sana Nikipata Faradh Ya Kuumwa Malaria Huwa Namwambia Wife Asiambie Watu Wengi.Kwakuwa Mtu Unakula Mipunje Ya Dawa Umechoka Unahisi Kufa Halafu Ngo! Ngo! Ngo! Ngo! Kila Baada Ya Dakika Kadhaa Huwa Nawachuniaga.Au Mnaonaje Wadau?
Wadau Hii Kwangu Binafsi Naona Kero Sana Nikipata Faradh Ya Kuumwa Malaria Huwa Namwambia Wife Asiambie Watu Wengi.Kwakuwa Mtu Unakula Mipunje Ya Dawa Umechoka Unahisi Kufa Halafu Ngo! Ngo! Ngo! Ngo! Kila Baada Ya Dakika Kadhaa Huwa Nawachuniaga.Au Mnaonaje Wadau?
nimekuelewa hutaki usumbufu ukiwa unaumwa