Kundi La Watu Kuja Kumuona Mgonjwa Nyumbani Kwake.Je,mgonjwa Atapata Muda Wa Kupumzika?

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
942
566
Wadau Hii Kwangu Binafsi Naona Kero Sana Nikipata Faradh Ya Kuumwa Malaria Huwa Namwambia Wife Asiambie Watu Wengi.Kwakuwa Mtu Unakula Mipunje Ya Dawa Umechoka Unahisi Kufa Halafu Ngo! Ngo! Ngo! Ngo! Kila Baada Ya Dakika Kadhaa Huwa Nawachuniaga.Au Mnaonaje Wadau?
 
Duh. Kuna kaukweli flani. Lakini wasipokuja utalalamika pia
 
[HASHTAG]#lwenyi[/HASHTAG] Uliwah Kuugua Nyumbani Kwako Jumla Ya Watu 50 Ndugu Na Marafiki Wanapishana Kukuangalia Mpaka Unachoka Kuwajibu. Unanyamaza Halafu Homa Yenyewe Malaria Tu Mapunje Ya Dawa Yanakuchosha.
 
Mkeo ni SHILAWADU kazi unayo

Ila nawewe kama huwa unaumwaumwa kafanye vipimo mkuu labda kuna kilichojificha nyuma ya malaria
 
Wadau Hii Kwangu Binafsi Naona Kero Sana Nikipata Faradh Ya Kuumwa Malaria Huwa Namwambia Wife Asiambie Watu Wengi.Kwakuwa Mtu Unakula Mipunje Ya Dawa Umechoka Unahisi Kufa Halafu Ngo! Ngo! Ngo! Ngo! Kila Baada Ya Dakika Kadhaa Huwa Nawachuniaga.Au Mnaonaje Wadau?
Ukizidiwa na huwezi hata kunyanyua mkono mwambie mkeo kuwa asiite watu wa kukusaidia, maana wewe na mke wako ni jeshi kamili
 
[HASHTAG]#lwenyi[/HASHTAG] Uliwah Kuugua Nyumbani Kwako Jumla Ya Watu 50 Ndugu Na Marafiki Wanapishana Kukuangalia Mpaka Unachoka Kuwajibu. Unanyamaza Halafu Homa Yenyewe Malaria Tu Mapunje Ya Dawa Yanakuchosha.
Si uweke utaratibu wa kufanya "status briefing" let say kwa siku mara moja!! Saa tisa alasiri.
Watakaochelewa watafikishiwa ujumbe na third party.
 
[HASHTAG]#mkumbwajr[/HASHTAG] Kutoa Uzi Huu Hakumaanishi Mm Naumwa Ni Mjadala Ambao Unahtaji Kujadiliwa.Au Nihisi Kichwa Chako Kina Msongo Wa Vyeti Mpaka Ushindwe Kuwa Na Perception Sahihi Ktk Thread.
 
[HASHTAG]#lwenyi[/HASHTAG] Uliwah Kuugua Nyumbani Kwako Jumla Ya Watu 50 Ndugu Na Marafiki Wanapishana Kukuangalia Mpaka Unachoka Kuwajibu. Unanyamaza Halafu Homa Yenyewe Malaria Tu Mapunje Ya Dawa Yanakuchosha.
wageni kuja kukujulia hali kwako ni faraja na pia wanaungana kukuombea sasa mtu asiyependa watu waje kumfariji wakati wa shida ni mchawi na mchoyo tu. unahisi watakujaa kunywa juice yako au? kama hujisikii kuongea kwann usimuambie mkeo kwamba wakija hautaamka kuwasalimia ila kukutizama ruksa kwani shida iko wapi?
 
[HASHTAG]#lwenyi[/HASHTAG] Sikatai Watu Wawaone Marafiki Zao Wagonjwa Tatizo Linakuja Hawaishi Kuja Mpaka Muda Wa Kupumzika Huna Wanaambiana Unakuta Mtu Hayupo Serious Sana.Suala La [HASHTAG]#juice[/HASHTAG] Hawawezi Kuinywa Tatizo Hawaishi Kuja Mfululizo Mpaka Jasho
 
Wadau Hii Kwangu Binafsi Naona Kero Sana Nikipata Faradh Ya Kuumwa Malaria Huwa Namwambia Wife Asiambie Watu Wengi.Kwakuwa Mtu Unakula Mipunje Ya Dawa Umechoka Unahisi Kufa Halafu Ngo! Ngo! Ngo! Ngo! Kila Baada Ya Dakika Kadhaa Huwa Nawachuniaga.Au Mnaonaje Wadau?
Kwani alikuja mchimba kabri, mshona sanda, na mkamuaji
 
Wadau Hii Kwangu Binafsi Naona Kero Sana Nikipata Faradh Ya Kuumwa Malaria Huwa Namwambia Wife Asiambie Watu Wengi.Kwakuwa Mtu Unakula Mipunje Ya Dawa Umechoka Unahisi Kufa Halafu Ngo! Ngo! Ngo! Ngo! Kila Baada Ya Dakika Kadhaa Huwa Nawachuniaga.Au Mnaonaje Wadau?

Una point...kwa kuzingatia hilo wale madaktari na manesi wa hospitali wanapoweka muda maalumu wa kuona wagonjwa na kuweka limit ya watu kumzunguka mgonjwa wanajua ni kitu gani sahihi kwa mgonjwa. Unapokuwa katika kuugua unahitaji mapumziko makubwa.....sio uwe busy tena na wageni.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom