Kundi la 'Wana Mtandao' tunalikomeshaje?


Njia pekee ni kuweka tofauti zetu pembeni na kupigana pamoja na agenda ya leo. Sote dhidi yao.
 
Bora wewe umekuja na wazo la kutafuta suluhisho,ni kuwauwa tu kwa sumu au risasi na mabomu
 
We ngedere acha kukariri upuuzi usiouelewa. Polepole hajawahi kufanya kazi serikalini huyo lofa alikuwa mpiga debe tu wa CCM, hakuna analolijua serikalini na hana access na information yyte. Yote anayoyarusha ni uwongo anaojitungia chumbani kwake huko mafichoni. Watanzania wengine km ww mlivyo wapumbavu mmejaa kwenye mtego wake, ht yeye sahv anawacheka na kuwadharau nyie mazuzu. Nilichoona sahv ht mwehu anaweza kuwapumbaza malofa km ww
 
We useless sperm, ni hasara kwa Taifa na dunia. Umeandika uchafu bila ht haya
 
Noma
 

Attachments

  • 6ba3db54bfb04a2c8a6f21c8cea0ec2b.mp4
    4.1 MB
  • FB_IMG_1756527808968.jpg
    21.9 KB · Views: 12
Kama ni kweli, wananmtandao WANATISHA kuliko maelezo, nimepitia FB nikakuta issue ya Dr Ndungulie (mwakilishi mteule wa WHO ukanda wa Afrika) alivyokuwa deleted, sijui kama haya mambo yana ukweli au ni coincidence imetumika kama fursa???

KUNA HARUFU MBAYA YA USHIRIKIANO WA UOVU
Ikumbukwe Dr, Janabi ndiye aliyekuwa Dr wa Magufuli na ndiye aliyekuwa naye muda wote hadi umauti, kibaya ni kwamba hakuna tarifa zozote zilizotolewa kuhusu hali ya ugonjwa wa JPM, kilichokuja kutangazwa ni kifo chake, mara zote viongozi wa juu kama Majaliwa akihojiwa mahali alipo Rais, alisema Rais yupo Ikulu anachapa kazi
Sasa baada ya JPM kufariki na muda kupita, Samia alimteua Dr Janabi kugombea Ukurugenzi wa WHO kwa kanda ya Afrika, mwanamtandao mkuu Kikwete alizunguka Afrika nzima kumnadi Dr Janabi akitumia pesa za walipa kodi wa Tanganyika zilizoidhinishwa na Samia Suluhu je haya yalikuwa malipo kwa Dr. Janabi kumwangamiza Magufuli???
Hizi ni connection DOTS ambazo ukizifuatilia kwa makini utaona jinsi hawa wanamtandao walivyojipanga kummaliza JPM
MUJADALA MWINGINE; kabla ya Janabi kuteuliwa na Samia, Dr Ndungulile ndiye aliyekuwa mshindi mshindi mteule wa Mkurugenzi wa WHO kanda ya Afrika na kutoka Tanzania, Dr. Ndungulile akiwa mzima wa afya na kabla hajaripoti ofisi za WHO ghafla aliugua na kufariki pia je hamwuoni hizi CONNECTION?? uovu ni mwingi mno
 
Mmmhhh
 
Hii imenishitua mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…