Kunasiana Wagoni - Advanced One (Saga Continue)

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,991
Reaction score
30,188
Sakata la Wagoni kunasiana sasa limekuja kivingine, na sasa maeneo ya magomeni kuna mwingine tena KANASA!!!
SIMU imeganda kwenye SIKIO, alikuwa anaongea na MKE wa MTU hivi sasa yupo MUHIMBILI kwa matibabu zaidi.
 
Mmmmh hiyo kali, kumbe TZ bila ugoni inawezekana!!! Big up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…