sukari yao
Senior Member
- Apr 24, 2013
- 140
- 23
wana jf nimesikia tangazo la voda la simu za promotion za techno B3, zinauzwa 170,000! Nimeingia net nimecheck specs zake ni za kawaida sana, sa najiuliza ni nini kingine cha ajabu kwenye hiyo simu kinachoifanya simu ya promo yenye weak features kama hizo iwe ghali namna hiyo? Wadau naomba mawazo yenu!