ni kweli kabisa hili ni tatizo na sasa limeshaota sugu, suala la viongoz kuitisha mikutano ya vijiji au mitaa halipo, na endapo panafanyika mikutano huwa inatoka ngazi za juu.
Kwa mfano hapa tanga mtaa wa magomeni-mjimwema kata ya duga,. Hili limekuwa ni tatizo sugu kwa kiongoz wa mtaa, ktk kuitisha mikutano ya maendeleo ya mtaa kwa mtaa ndani ya kata zetu ni shida na penginepo hili swala linatokana na hofu ya maswali na changamoto hasa panapokuwepo na vijana wasomi kwny miji yetu...
Jamani viongoz 2badilike na kuondokana na dhana ya woga na 2kubali changamoto zinazotuhusu.
Pia ww kiongozi pendelea kuitisha mikutano ktk miji yako ili uwe kiongoz bora na msaada kwa wananchi wako.
Kuwa kiongoz ni dhamana na sio vinginevo na uwe mfano kama kiongoz bora.
TUBADILIKE