Entim
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 4,024
- 2,273
Sasa mkuu hii mada inahusiana vipi na uislam...??
Ukijua kuraan alshabab wanakuacha hai.
Sasa mkuu hii mada inahusiana vipi na uislam...??
Kufanya doria kwa polisi kunahusiana vipi na uislamu.....??Ukijua kuraan alshabab wanakuacha hai.
Wakati wa sikukuu polisi huwa wanafanya doria tu, tena ombea usikamatwe wakati wa sikuku utalala selo mpka sikuku ziishe
Wanatafuta mtu yeyote anayetumia Kompyuta. Ile sheria ya Mtandao si imeanza?Mitaa ya Mbezi Beac hapa Samaki Wabichi.
Naona helikopta ya polisi imezunguka mara mbili, chini chini kama inafuatilia gari au mtu, muda huu hu.
Kunani?
Hebu weka swali lako likae kiutamu zaidi bila kupunguza sifa za DISCO,ongezea na haya :kuchanganyika (wanawake na wanaume) kuvaa kivyovyote (pamoja na kuingia na viatu) aijalishi umelewa au hujanywa waweza ingia tu bila kusahau sifa kubwa ya disco nayo niiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii MUSIC NA WACHEZA SHOW hapo sasa swali limekaa kiutamu kama zinachaji hautauliza upi unasifa za ukumbi wa DISCO.Upi umekaa kama ukumbi wa disco Kanisa lenye viti au msikiti ambao uko tayari hata kwa vigodoro
Ondoeni hofu wakuu wanajaribu breki mpya walizofunga jana gereji....
Mitaa ya Mbezi Beac hapa Samaki Wabichi.
Naona helikopta ya polisi imezunguka mara mbili, chini chini kama inafuatilia gari au mtu, muda huu hu.
Kunani?
UPDATE
lEO SAA NNE NA NUSU TEENA IPO HEWANI kUNANIII!!
Kova atupe update na yeye basi ili wananchi tujue.kuna matishio ya ugaid kati ya ijumaa na jumamosi kwa hiyo rada muhimu ili kuweka ukinzi
Kule Mandera walikuwa wanaakuuliza aya ukishindwa unawekwa pembeni unauawa so bora kuzijua Satanic verses
Kule Mandera walikuwa wanaakuuliza aya ukishindwa unawekwa pembeni unauawa so bora kuzijua Satanic verses