Kunani? Naona helikopta ya polisi ikivinjari!

Kunani? Naona helikopta ya polisi ikivinjari!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,628
Reaction score
30,957
Mitaa ya Mbezi Beac hapa Samaki Wabichi.
Naona helikopta ya polisi imezunguka mara mbili, chini chini kama inafuatilia gari au mtu, muda huu hu.
Kunani?

UPDATE
lEO SAA NNE NA NUSU TEENA IPO HEWANI kUNANIII!!
attachment.php
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    91.9 KB · Views: 621
Ngoja nifike central nipate news alafu narudi
 
Naona inafuatilia mwenendo wa kitu fulani, imeelekea maeneo ya Kunduchi.
 
Mitaa ya Mbezi Beac hapa Samaki Wabichi.
Naona helikopta ya polisi imezunguka mara mbili, chini chini kama inafuatilia gari au mtu, muda huu hu.
Kunani?

si unajua tena mbwembwe za kova, juzi alisema yeye ndie atakuwa juu kwa juu kuangalia usalama!! na ole wake atakaye taka kuleta uhuni kwenye sikukuu hii ya pasaka atamdaka kama kipanga!! tena yeye mwenyewe kwa mkono wake, na kama General mwamunyange angekuwa na bit kama la huyu bwana, hata marekani wangetuogopa,
 
Nasubiri... najifunza quran maana ni mida nshasahau baadhi ya aya... hawa jamaa wanatumia vibaya sana dini nzuri kama hii ya Uislam.. utoto wangu unakumbukumbu nzuri ya ukarimu wa Waislamu hawa jamaa wanaharibu
 
Afande Kova fiksi yule jamaa.
Askari wanauwawa kwenye lindo lake na hskuna wa kukamatwa!
Watujulishe wananchi tuhamasike kuwatafuta majahili, hatushindwi.
Inavoelekea sasa si ndo tutawalinda polisi.
 
Nasubiri... najifunza quran maana ni mida nshasahau baadhi ya aya... hawa jamaa wanatumia vibaya sana dini nzuri kama hii ya Uislam.. utoto wangu unakumbukumbu nzuri ya ukarimu wa Waislamu hawa jamaa wanaharibu
hahaha, wakifika wanakuuliza wewe mkristo au muislam, ukisema muislam wanakuongelesha mistari ya kwenye kuran, wakiona unapepesa macho tu wanajua wewe ni kafir au muislam usiyefuata mafundisho hivyo utakusanywa pamoja na makafir...hahaha kazana kujifunza kuran aisee.
 
Itakuwa wanawafuatilia wale magaidi walimua yesu kwani leo si ndo yuna adhimisha ufufuo wake!
 
Polisi kuuwawa alafu.....hali tete......na wanazunguka na helicopta
 
Back
Top Bottom