Kunani mitandaoni?

Kunani mitandaoni?

Ijuganyondo

Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
62
Reaction score
1
Heshima yenu wanajf, naombeni kuwashirikisha katika hili,hiv hii mitandao yetu ina nini? Unampigia mtu cm unaambiwa namba haipatikani wakati huyo m2 uko nae,mara unaambiwa salio halitoshi wakati una jero!,au unaambiwa namba unayopiga haipo/imekosewa wakati iko right! Ukibahatika kumpata usikivu unakuwa ZERO!Ukijiunga na cheka ndo utakoma muda utaisha na dakika zako unapokonywa Live! Hii ni kwa mitandao yote si voda,airtel,tigo,ttcl,wala zantel! Nawasilisha,
 
Ni hitilafu tu za hapa na pale. Inawezekana pia hali ya hewa ya siku hiyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom