Prince Of Darkness
Senior Member
- Feb 28, 2018
- 102
- 81
Wahuni gang kuendesha nchi hatuhitaji kuzoa majimbo yote bali, majimbo 150 yanatutosha kabisa, 2025 majimbo ya washamba gang tutayaacha uchaguzi uwe huru na haki so kazi kwenu wapinzani kuyapambania.Tume ya uchaguzi 2025 itakuwa ipi?