Kunani mashuleni sekondari?

Kunani mashuleni sekondari?

Lishe duni miaka hii, watu wanasoma alafu ndani ya dakika kumi anakuwa kasahau kabisa. Virutubisho vinavyoujenga ubongo vinakosekana, siku hizi mdebwedo sana

Nakubaliana na wewe 100%,tunakula vyakula vingi lakini virutubisho ndani yake ni kidogo sana,tukitilia mkazo hapo tutafika mbali.
 
hapo kuna tatizo hasa kwa shule husika kuwapa wanafunzi majibu so hawajibidishi....
Lakini pia inategemea na target ya mwanafunzi alipokuwa shuleni kwa mfano mimi a-level nilifaulu physics hata leo ukiniuliza swali la Electromagnetism, au subtopic ya AC au linalohusiana na Newton ring experiment, siwezi kabisa kukujibu hasa calculations zake ni kwa sababu tu hilo somo sikuwa na malengo nalo,nilisoma tu ili nifaulu, nikijua kabisa chuoni sitasoma phy.

Sasa na hao yawezekana walikuwa hivyohivyo.
 
tatizo ni serikali imeshindwa kusimamia elimu yetu, mitahara inabadirishwa ovyo sababu imekua ni biashara watunzi wa vitabu vya mashuleni ni hawa wanasiasa,
miaka ya nyuma mpaka mwaka 2001 hivyi mtu alikuwa akifahuru shule za serikali anajivunia na mtahani anaonekana yuko vizuri kichwani na viongozi wakubwa walikua wanaonga watoto wao wasome shule za serikali.
Leo hii shule zote za serikali zimekufa ata mwanao akifahuru kwenye shule hizi unamtafutia shule ya binafsi.
Tatizo kubwa mimi nililiona sasa elimu tumeirahisisha sana tunatafuta njia ya mtoto kafuhur kwa kujua maswali na majibu kuliko kuelewa
kusoma sana summary za notes, kuliko kusoma notes zenyewe na vitabu,
tunatakiwa tuangalie wapi tumekosea na tunaelekea wapi
na usimamizi mkubwa unatakiwa kuwekwa kwa walimu

hovyo kabisa hata kiswahili hujui
 
Mnashabikia ccm halafu mnakuja kuweka Matako yenu humu kulaumu Leo??

mnaakil kweli! kama sio mbatia ule upuuzi wa vitabu tungeijuaje??

wengi wenu mkiwa na kipato mil. 2 per day ..mnaanza kutetea ccm

Bora Dr mihogo kuliko mi Dr umekaa inatetea uozo, yaani unakuja kutana na lijitu badala ya kutetea umma...limekaa na mwili MKUBWA pressure 180 anasubiri imuangushe. Ina rweitama. anahangaika. udsm sijui nawaonaje. ndio wanarithisha uwozo kwa watoto, thy ar not hero, unategemea nin kwa wanafunz. mtoa uzi philosophy yako ni dhaifu..kama ni swali au hoja haieleweki. usiwalaumu. maxsti na African nini..unataka jawabu gani. fafanua mwenyewe
 
uko poa ila nakushauri usiwe unatumia lugha kali sana......PUNGUZA kdg
 
Serikali imeamua kwa makusudi kuwafaulisha wanafunzi na kujisifu. Hali ktk shule ni mbaya sana, ila ufaulu imetoka 49% mpaka 81% kwa kusema BRN tu. Walimu wameacha kazi, wamebaki na ajira. Walipo field wanajua hili.
 
elimu yetu kwakwel...xa hv tatizo linahamia vyuoni...vyuo vyetu vimekaa kibiashara sana havitoi elimu bora..
mwanafunz wa CBG, CBN,CBA, anasoma engineering ukitaka proof nenda st.Joseph
kutoa sup n dil vyuon elfu 30 kutoa sup IFM pale....

matumizi ya herufi 'x' na 'q' katika lugha ya kiswahili pia ni tatizo sana.Hizo herufi hazitumiki katika lugha ya kiswahili.
Alafu engineering ni pana sana,ambapo kiswahili chake ni uhandisi.hapo inategemea wanasoma uhandisi gani!
usiongee vitu hadharani bila kuwa na uhakika.
 
Lishe duni miaka hii, watu wanasoma alafu ndani ya dakika kumi anakuwa kasahau kabisa. Virutubisho vinavyoujenga ubongo vinakosekana, siku hizi mdebwedo sana
.gwankaja chipsi mayai na fanta ya baridi
 
nyie endeleeni kushangaa tu huko maofisini,sisi tuliopo kwenye field ya ualimu tunajua yanayoendelea hapa Tz• Ukweli nikwamba matokeo yanapikwa na serikali inadanganya tu watu kuwa ufaulu umeongezeka• Mtoto unamfundisha miaka yote ya masomo yake hapati hata C ila utashangaa majibu ya necta yakitoka ana A!!

Pole brother,
Hili janga ni letu sote.
​
 
Cobblepots

hujawahi kusikia waziri flani tena wa elimu akituwakilisha nje ya nchi akisoma ripoti inayosema tanzania ni muunganiko wa tanganyika na visiwa vya zimbabwe.elimu ya bongo hoi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom