Kwani kuna Ushahidi wowote wa Kisanyansi kwamba Binadamu akila vizuri Chakula basi ni lazima anenepe? Huwezi Kukuta Akili mbovu kama hii yako yenye Fikra za Kipuuzi ndani ya Taifa la Rwanda ila katika nchi uitokayo ( ambayo siijui ) huko ndiko kuna Mapopoma wengi na ndiyo maana Mkulima Mmoja anawateseni tu kutokea South Africa na sasa huko Canada. Huna IQ ya kuweza Kujadili mambo ya Taifa lenye Watu wenye Akili kubwa kuliko lile ambalo Kutwa tu linasumbuliwa na Mkulima Mmoja hadi linaanza Kutia Huruma na Kulialia.
Hujui kua alimtimua jeshini hadi ndugu yake wa damu General Salimu Saleh, hujui anachomfanyia daktari wake binafsi Kanali Kiza Besigye, Hujui alichomfanyia general Mugisha Muntu, hujui alichomfanyia General David Sejusa? Hao wote kama sio kukimbilia uhamishoni kwanza sijui leo wangekua wapi? Na hao wote walikua nae huko bush war.Mbona hayo mambo hatuyasikii kwa museven
Yeye ndiye aliyemuua?Damu ya Alfred Rwegama inamlilia,mzimu bado unamuandama.....!!! Salama yake na yeye afe.
Alikuwa nani huyu mkuuFred Rwigema
Hujui kua alimtimua jeshini hadi ndugu yake wa damu General Salimu Saleh, hujui anachomfanyia daktari wake binafsi Kanali Kiza Besigye, Hujui alichomfanyia general Mugisha Muntu, hujui alichomfanyia General David Sejusa? Hao wote kama sio kukimbilia uhamishoni kwanza sijui leo wangekua wapi? Na hao wote walikua nae huko bush war.
That's why ❓ nayeye anawindwKagame aliingia madarakani kwa mapinduzi
Nashukuru kwa Marekebisho...!!Fred Rwigema
Hapa ndio mwisho wa maneno yote. Alijitahidi kuhifadhi maiti Mulago hospital Uganda siku zote ili aje amzike kwa heshima nyingi ili kufikia hilo swala lakini Damu ni Damu tu.KISIWAGA,
Damu ya Alfred Rwegama inamlilia, mzimu bado unamuandama! Salama yake na yeye afe.
AliratibuYeye ndiye aliyemuua?
Hayo yote ni majina yake. Kabla hujakosoa uliza kwanza. Huyu namjua personally.Tafadhali rekebisha upesi hapo kwenye General David Sejusa na andika General David Tinyefunza.
Hayo yote ni majina yake. Kabla hujakosoa uliza kwanza. Huyu namjua personally.
Kwahiyo??Kagame aliingia madarakani kwa mapinduzi
Hiv kwann unakua mpumbavu namna hii chief!!???Umebahatika Kuzaa nae Watoto wangapi hadi sasa Mkuu?
Hiv kwann unakua mpumbavu namna hii chief!!???
Fanya kama umeenda shule basi..
Kwakua ww mwanaume unashika mimba za wanaume wenzako ndo mana unauliza wanaume maswali ya kijinga hivyo baada ya kuishiwa hoja fala weKama Kumuuliza Mtu kuwa amezaa na Mwanaume Watoto wangapi hadi hivi sasa ni Upumbavu basi nadhani Wewe ndiyo utakuwa Pumbavu / Popoma Mwandamizi kabisa Mkuu.