Kunani kwenye mwili wa Kagame

Kunani kwenye mwili wa Kagame

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,021
Reaction score
16,590
Wadau,

Kumekuwa na mlolongo mrefu wa walinzi binafsi wa Kagame kushtakiwa kwa kutuhumiwa kutaka kumuua.

Hivi huyu Kagame mwili wake umeundwa na dhahabu mbona marais wenzake wakina Museveni, Nkrunzinza, Kabila, Magufuli nk. hatujawahi kusikia wamemfunga mtu au kumpeleka mahakamani kwa tuhuma kama hizi za Kagame?
 
Kutokujiamini kwa Kagame kunaanzia toka kipindi hicho anaangaika na wapiganaji wenzake kuiteka Rwanda.

Kiufupi PK hakustahili kuwa kiongozi ila kilichomsaidia ni born technician.

Pia kuna kutofautiana kimtazamo kati yake na majeneral wake ambao karibia wote alikuwa nao mstuni miaka hiyo that why hajiamini.
 
Usharika Wa wachawi si Wa kudumu.Kutoana kafala ni sehemu yao ya ibada
 
Fred Rwigyema
Screenshot_20191123-172908.png
 
Back
Top Bottom