Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,642
tangu alipomtukana nyerere ndo ilikuwa ishara yake ya mwisho wa siasa zake za miemuko,
Naomba nikukumbushe:
ktk uchaguzi wa s/mitaa uko wilaya ya ikungi(singida mashariki) 2014, ktk vijiji 50:
a)CHADEMA=tumezoa 47
b)MACCM=u figure it!
ahahaha
bado udiwani hapo