Kunani kwa tundu lissu

Kunani kwa tundu lissu

Masamila

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Posts
6,506
Reaction score
7,472
Watu wengi ikiwamo na wanajimbo wa singida mashariki wametabiri kuwa tundu lissu hatarudi.hiyo issue nimeconfirm mwenyewe na nimeshuhudia watu wakiyasema.
 
ni kweli,maana hatukumchagua aende bungeni kuipigania saccos ya wakaskazini...........
 
Watu wengi ndio wangapi? Hao watu wengi walikutana wapi kuongea habari za Lissu na wewe ukawasikia? Hao watu wengi ndo wamekutuma? Angalia kesho usije ukatuambia umekutana na dhahama watu wengi!
 
Lissu ni potential candidate wa UKAWA wananchi wametambua hilo.
 
kibaraka wa saccos ya kasikazini,alimfukuza zitto
 
tangu alipomtukana nyerere ndo ilikuwa ishara yake ya mwisho wa siasa zake za miemuko,
 
wee tabia ya kutafuna na kumeza umeitoa wapiiiiiiii
 
Watu wengi ikiwamo na wanajimbo wa singida mashariki wametabiri kuwa tundu lissu hatarudi.hiyo issue nimeconfirm mwenyewe na nimeshuhudia watu wakiyasema.

subiri kir.oba,kipungue makali ndo ucoment
 
ni kweli,maana hatukumchagua aende bungeni kuipigania saccos ya wakaskazini...........

Nauliza tu katika majimbo yoote ya uchaguzi ni jimbo gani wenyeviti wa c.d.m walichukua viti vingi jibu tu usione soo hakafu ukimaliza ujitathmini.
 
Watu wengi ikiwamo na wanajimbo wa singida mashariki wametabiri kuwa tundu lissu hatarudi.hiyo issue nimeconfirm mwenyewe na nimeshuhudia watu wakiyasema.

Mmesahau serikali za mitaa CCM mliambulia nini jimboni kwa Tundu Lisu?
Au kumbukumbu hamnazo?
 
Tukutane october
 
Attachments

  • 1436287784909.jpg
    1436287784909.jpg
    10.5 KB · Views: 607
Back
Top Bottom