rkgx
Senior Member
- Nov 30, 2013
- 100
- 81
Tangu nianze kutuma applications via Apply now button ya kwenye matangazo ya kazi za zoom sijawahi kuitwa kwenye interview hata moja, hivi zile applications kweli zinafika kwa walengwa au ndio magumashi?
Nime-attend interview nyingi kupitia emails address za makampuni na mara nyingi ni za kupitia kazibongo na tayoa.
Sasa hawa zoom inakuwaje?
Nime-attend interview nyingi kupitia emails address za makampuni na mara nyingi ni za kupitia kazibongo na tayoa.
Sasa hawa zoom inakuwaje?