kunani katika vyoo!!!

kunani katika vyoo!!!

Gigiri

Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
5
Reaction score
5
habarini za sasa wapendwa, mabibi na mabwana wa jumba la wafikiriaji wa hali ya juu?

mwenzenu nina langu linalokuna moyo wangu, nalo ni hili...

ni muda sasa nimekuwa nikijiuliza kunani katika vyoo vyetu hivi vya uswahilini? kwanini kuna masharti na vijimambo vingi kiasi hiki?

1. kuna vyoo ukiingia waambiwa utangulize mguu wa kushoto...
2. kuna watu wameshadondokea kwenye vyoo hivi, wengi wao ukichunguza utakuta hakuna aliyetoka salama..!
3. vyoo hivi hivi utakuta kuna imani nyingi ambazo nyingi huwa ni kishirikina shirikina hivi, kwanini?

nawasilisha!
 
Ukiamini, yatakupata majanga... ni imani tu mbovu mbovu
 
Watu tunatembea wagonjwa hivyo starehe ya wakati wa kunya au kukojoa inasababisha tatizo kuongezeka. Ni sawa na wanaofia juu ya viuno/ vifua vya wanawake. Aafu pia kuna wakati sakafu za chooni zinateleza hivyo mtu anapoanguka kama alikuwa na tatizo kwanye mfumo wa mzunguko wa damu linajitokeza wazi wazi.
 
Back
Top Bottom