Tulikuwa na maulid lakini tumemaliza salama

Habari za saa hizi wakuu?..

Leo katika pitapita zangu nimeona watu kibao na wengi wao wakiwa katika vazi la kiislam zaidi wanaingia ikulu upande wa geti la ofisi za WAMA na kuna kaswidah kwa mbali vijana wanaimba..

swali je kuna nini leo ikulu kwa anayefahamu naomba atujuze?

nawasilisha..

walikua wanagawa tende na harua mkuu..................huh
hbu jiheshimu................huh

<br /
wenzako walikuwa wanapara samaki pale kivukoni_vp naambiwa na wewe ulikuwa unapara miwa kule ikulu