Sospetergideon
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 300
- 16
Ni sababu gani inayofanya mambo na mipango mingi ya afya kwenda ndivyo sivyo?
kivipi mkuu?? Funguka!
Hivi inaruhusiwa kwenda chuo bila JOINING INSTRUCTION?
unakwenda tu mkuu; hawatatuma tena barua na majina tiyari yameshapelekwa vyuoni!!