Chagamoto kama zipi mkuu? Be specificHabari wana jf, naomba kufahamu kwa wale waliowahi kununua laini za uwakala kama tigo pesa na mpesa zilizotumika ama zimesajiliwa na majina mengine kuna changamoto zozote zimewahi kuwakuta kwa kutumia lain hizo?
Amna....Habari wana jf, naomba kufahamu kwa wale waliowahi kununua laini za uwakala kama tigo pesa na mpesa zilizotumika ama zimesajiliwa na majina mengine kuna changamoto zozote zimewahi kuwakuta kwa kutumia lain hizo?
Hauleti shida, uo mfumo wa uwakala unafuata rules and regulations za BOT......Na vipi kuhusu uhakiki wa kusajili laini kwa fingerprint hauwezi kuleta shida?
Habari wana jf, naomba kufahamu kwa wale waliowahi kununua laini za uwakala kama tigo pesa na mpesa zilizotumika ama zimesajiliwa na majina mengine kuna changamoto zozote zimewahi kuwakuta kwa kutumia lain hizo?
Nashkuru kwa kunijuza mkuuHauleti shida, uo mfumo wa uwakala unafuata rules and regulations za BOT......
Unaeza kuisajili kwa Jina lako lakin code ya muamala na account ya Pesa ikabaki na jina lile lile.......
Usajili wa line na akaunti ya fedha ni vitu viwili tofauti! Ukiwa na Documents zako unaeza badili jina pia na ndo vizur zaid
Unataka kuleta changamoto....!Habari wana jf, naomba kufahamu kwa wale waliowahi kununua laini za uwakala kama tigo pesa na mpesa zilizotumika ama zimesajiliwa na majina mengine kuna changamoto zozote zimewahi kuwakuta kwa kutumia lain hizo?
Amna....
More than 70% of Wakala awatumii jina zao!...
Mpesa pekee ndo tatizo kidogo na tatizo lake ni pale ikipotea kurenew kama huna docment ni ngumu
Laini kila kitu kilikuwa sawa lkn leseni iko validPole sana ukhty, ulifanikiwa lakini kurenew??