Kuna Wenzangu waliokimbia Additional Mathematics kama mimi?

Kuna Wenzangu waliokimbia Additional Mathematics kama mimi?

Mimi sijawahi kukosa A ya hesabu mtihani wa mwisho.Kuanzia primary,O'level hadi A'level.
Mimi nakuambia kitu nilichokutana nacho wewe unakisia tu!
Halafu maisha ya O'level na A'level kamwe hayawezi fanana.Mimi kuna mtu nimetoka naye shule moja O'level na hiyo addit aliifanya vizuri sana na mtihani wa ACSEE alikosa A mimi nikaipata.
Sasa huo ugumu ulio uoba hakuba aliye kubishia huo ni kwako, lakini kwetu sisi wengine ni tofauti.

Sijawahi kukutana na mtu aliyesoma PCM au aliyekuwa anajua hesabu akalalamika hesabu ni ngumu ilimsumbua.
 
Sasa huo ugumu ulio uoba hakuba aliye kubishia huo ni kwako, lakini kwetu sisi wengine bi tofauti.

Sijawahi kukutana na mtu aliyesoma PCM au aliyekuwa anajua hesabu akalalamika hesabu ni ngumu ilimsumbua.
Haya.
 
Back
Top Bottom