Kuna wengine kwenye picha hii bado wanataka tuwape uongozi!

Wewe jamaa leo naona umeandika kitu cha maana. Uendelee hivi hivi kuandika mambo kwa ajili ya maslahi mapana ya Tanzania,sio uchama mpaka unakera. Kongole.
Kuna wazee wengi inabidi wakae kando wawaachie damu changa nao wajenge Taifa.
 
Wanasiasa hasa wa Afrika ni moja ya watu ambao hawana aibu za kisiasa. Tatizo kuu la kukosa aibu ni kwa sababu wanazifanya siasa kama sehemu ya ajira na kujiaminisha kama ni kipaji.

Walioweka dhana ya ukomo wa madaraka ya wanasiasa hawakuwa wajinga kwa sababu walijua athari za kuwepo wa wanasiasa wanaodhani siasa ni ajira na kipaji.

Fikiria mtu ambaye amezaliwa na kukuta Mwl, Nyerere ametangulia mbele ya haki kwa sasa ana miaka 20. Mtanzania huyu kwa Katiba yetu anatatakiwa kuwa mwakilishi wa wananchi lakini anakosa nafasi kwa sababu ya ubinafsi wa baadhi ya wanasiasa wanaodhani siasa ni ajira na kipaji.

Nakumbuka Mwanzilishi wa Tuzo ya Utawala Bora Afrika, Mo Ibrahim aliwahi kuligusia suala hili aliposema, Bara la Afrika ni changa ambalo lina vijana wengi wenye umri wa miaka 20 lakini viongozi wake wengi ni wazeee sio wa miaka pekee bali hata kifikra.

Ukiangalia takwimu za Sensa ya Mwaka 2012 utagundua kuwa Watanzania wenye umri wa miaka 0-20 ni asilimia 54.2, wakati wenye umri wa miaka 20-40 ni asilimia 28.5. Hii ina maana kuwa Watanzania wenye umri wa miaka 0-40 ni asilimia 82.5.

Leo unakuta mtu aliyewahi kuwa Mbunge au kwenye Balaza la Mawaziri wa serikali ya Rais Nyerere bado anataka tuendelee kumpa uongozi wa kisiasa! Hivi sisi ni wajinga au wapumbavu?

Kinachoshangaza zaidi unakuta kijana wa umri wa miaka 20 anapanga foleni kumpa kura mtu aliyewahi kufanya kazi ya kisiasa kwenye serikali za wakati wa Rais Nyerere!

Jaribu kufikiria ni wananchi wangapi wenye umri wa miaka 40 kushuka chini ambao wako kwenye uongozi wa kisiasa nchini?

Bila kuiondoa dhana ya ‘’genontocracy’’ tutaendelea kukumbatia wanasiasa ambalo kifikra wamezeeka lakini wanaodhani siasa ni ajira na kipaji!

img-20190115-wa0195-jpeg.995447
Pole kwa kutekwa mkuu , taarifa tulipata japo kwa kuchelewa kidogo , shetani hajawahi kuwa na rafiki
 
Ukweli tunatia aibu. Seif jitafakari.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo lako ni "stereotyping" kwamba umri ni kigezo cha uwezo wa mtu. Nchi haitawaliwi kupitia vijana au wazee au kabila fulani. Ni kwa Katiba na sheria pamoja na "strong institutions" ambazo ni Bunge, Mahakama na Serikali. Bila hivyo hakuna utawala bora.
 
Back
Top Bottom