Haya Maneno mujarabu hata wana Ccm wenzako huwa unawambia ili wasiwape kura vijeba???
Mkuu;
Maoni yako yamenifanya nicheke!
Unakuta vijana wanajipanga kwenda kumpigia kura mbunge ambaye amekuwa bungeni toka awamu ya kwanza!