Kuna wazee walionunuliwa tayari

Ila maisha ya bongo sasahivi ni kama movie za Mission/Action
 
Hakuna asali wala nini madudu yao yanajulikana wametembelewa tu, mnataka kupindua serikali? ujumbe umewafikia na wametaja mpaka walikomficha Haraka Haraka ndio umeona kadakwa. jiongeze
 
Inaonekana hata wengine waliolalamima ni kwavile hawamo kwenye buyu la asali...

Sasa wazee wote wadumbukizwe kwenye buyu la asali halafu atakaetoa mlio wa kukemea akiwa ndani ya buyu la asali ndo mzalendo wa kweli. Au mnasemaje wadau
Hakuna mzalendo nchi na point yako ni 100% ni kuwa tupo nje ya buyu la asali ndio kelele hizi, hata hao wasanii wengine unasikia kelele ni kuwa tu wako nje ya buyu....
 
Tar 29 inabidi uyu mzee butiku tumu tikundu
 
Kauzwa, wabongo wengi tuna tamaa ya hela na umaskin ni shida, TUJITAFAKARI kwa mfano mimi natafutwa na wanamtandao, hawajui nilipo, wewe ni mzee wangu mlezi,wakakuwekea begi la b5 mezani utaje location tu nilipo utakataa kweli?
Hili swali linafaa waulizwe wachaga sisi wakurya halituhusu πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…