Kuna watumishi wanajituma sana!

Kuna watumishi wanajituma sana!

Habari wakuu,

Kweli nimeamiani kwenye kundi la kenge huwezi kosa na mamba. Na pia samaki mmoja akioza si kwamba wote wataoza.

Nimeongea hayo kwa kujithibitishia kwa kuona baadhi ya watumishi wa umma wanafanya kazi zao kwa umakini na kwa weledi mkubwa sana. Kweli kuna watumishi waliapa kiapo cha haki kabisa.

Nilienda almost mara tatu pale branch ya RITA manispaa karibu na uwanja wa TAIFA , nikakutana na mwamba mmoja anaitwa Jose, huyu mwamba anapiga kazi kisawa sawa yaani, yaani yuko tayari hata asile mlo wowote ule ila ahakikishe wateja wake wote wamepata huduma.

Mwamba mcheshi na akiwa kazini anapiga kazi like hakuna kesho. Jamaa hana dharau na sio mtu wa kufokea wateja kama wafanyavyo baadhi ya watumishi. Pia mwamba ana nidhamu na ni mtu makini sana.

Kuna siku jamaa alizidisha muda wake wa kazi kutoka saa 6 mpaka 12 jioni, kwa kuhudumia wateja. Huyu mwamba aliniaminisha kuwa si watumishi wote ni wahuni. Bali kuna wapiga kazi kweli kweli.

Hongera sana mwamba kama umesoma uzi huu basi big up man, soon utatoka sehemu moja na kwenda nyingine kaka
nenda RITA makao makuu division ya wilaya ya ilala, mpaka upate cheti cha kuzaliwa kimeandikwa kwa usahihi kuanzia jina mpaka tarehe utarudia mara tatu hadi nne na unaweza ukakata tamaa au ukatukana sana.
 
nenda RITA makao makuu division ya wilaya ya ilala, mpaka upate cheti cha kuzaliwa kimeandikwa kwa usahihi kuanzia jina mpaka tarehe utarudia mara tatu hadi nne na unaweza ukakata tamaa au ukatukana sana. Watumishi wa rita makao makuu ni wazembe mno
Sio RITA tu! Naomba uwende baraza la mitihani Necta, pale kijitonyama ukafuatilie chochote iwe cheti mbadala au barua, utafanyiwa visa pale reception mpaka ukome, tena kuna mama pale ananyodo mpaka basi, ilikuwa nimnase makofi
 
serikalini kupata mtumishi mchapakazi ni sawa na kuokota dhahabu sokoni
 
Habari wakuu,

Kweli nimeamiani kwenye kundi la kenge huwezi kosa na mamba. Na pia samaki mmoja akioza si kwamba wote wataoza.

Nimeongea hayo kwa kujithibitishia kwa kuona baadhi ya watumishi wa umma wanafanya kazi zao kwa umakini na kwa weledi mkubwa sana. Kweli kuna watumishi waliapa kiapo cha haki kabisa.

Nilienda almost mara tatu pale branch ya RITA manispaa karibu na uwanja wa TAIFA , nikakutana na mwamba mmoja anaitwa Jose, huyu mwamba anapiga kazi kisawa sawa yaani, yaani yuko tayari hata asile mlo wowote ule ila ahakikishe wateja wake wote wamepata huduma.

Mwamba mcheshi na akiwa kazini anapiga kazi like hakuna kesho. Jamaa hana dharau na sio mtu wa kufokea wateja kama wafanyavyo baadhi ya watumishi. Pia mwamba ana nidhamu na ni mtu makini sana.

Kuna siku jamaa alizidisha muda wake wa kazi kutoka saa 6 mpaka 12 jioni, kwa kuhudumia wateja. Huyu mwamba aliniaminisha kuwa si watumishi wote ni wahuni. Bali kuna wapiga kazi kweli kweli.

Hongera sana mwamba kama umesoma uzi huu basi big up man, soon utatoka sehemu moja na kwenda nyingine kaka
Sawa Jose tumekuelewa
 
Kichefuchefu kipo Manispaa ya Kinondoni aisee, unaenda unahitaji kushughulikiwa jambo lako kupata jibu mtu hadi amalizie kutuma emoj kwanza...

Wale wamama wa pale hasa masijala Mungu anawaona
Wanajiskia sijapata ona
 
serikalini kupata mtumishi mchapakazi ni sawa na kuokota dhahabu sokoni
Japokua wachapa kazi Serekalini wapo wengi tu,sema kuwapata wakuhudumie ndiyo uwombe sana Mungu!!
 
Habari wakuu,

Kweli nimeamiani kwenye kundi la kenge huwezi kosa na mamba. Na pia samaki mmoja akioza si kwamba wote wataoza.

Nimeongea hayo kwa kujithibitishia kwa kuona baadhi ya watumishi wa umma wanafanya kazi zao kwa umakini na kwa weledi mkubwa sana. Kweli kuna watumishi waliapa kiapo cha haki kabisa.

Nilienda almost mara tatu pale branch ya RITA manispaa karibu na uwanja wa TAIFA , nikakutana na mwamba mmoja anaitwa Jose, huyu mwamba anapiga kazi kisawa sawa yaani, yaani yuko tayari hata asile mlo wowote ule ila ahakikishe wateja wake wote wamepata huduma.

Mwamba mcheshi na akiwa kazini anapiga kazi like hakuna kesho. Jamaa hana dharau na sio mtu wa kufokea wateja kama wafanyavyo baadhi ya watumishi. Pia mwamba ana nidhamu na ni mtu makini sana.

Kuna siku jamaa alizidisha muda wake wa kazi kutoka saa 6 mpaka 12 jioni, kwa kuhudumia wateja. Huyu mwamba aliniaminisha kuwa si watumishi wote ni wahuni. Bali kuna wapiga kazi kweli kweli.

Hongera sana mwamba kama umesoma uzi huu basi big up man, soon utatoka sehemu moja na kwenda nyingine kaka
Huwa haufanyi kazi zako unashinda kutwa nzima kufuatilia ratiba ya Jose?
 
Wanaishiaga kuwa maskini tu ndo shida
 
Jose bana umeona hatukuoni umeamua kuja kujisifia mwenyewe kwa mbinu hii
 
Habari wakuu,

Kweli nimeamiani kwenye kundi la kenge huwezi kosa na mamba. Na pia samaki mmoja akioza si kwamba wote wataoza.

Nimeongea hayo kwa kujithibitishia kwa kuona baadhi ya watumishi wa umma wanafanya kazi zao kwa umakini na kwa weledi mkubwa sana. Kweli kuna watumishi waliapa kiapo cha haki kabisa.

Nilienda almost mara tatu pale branch ya RITA manispaa karibu na uwanja wa TAIFA , nikakutana na mwamba mmoja anaitwa Jose, huyu mwamba anapiga kazi kisawa sawa yaani, yaani yuko tayari hata asile mlo wowote ule ila ahakikishe wateja wake wote wamepata huduma.

Mwamba mcheshi na akiwa kazini anapiga kazi like hakuna kesho. Jamaa hana dharau na sio mtu wa kufokea wateja kama wafanyavyo baadhi ya watumishi. Pia mwamba ana nidhamu na ni mtu makini sana.

Kuna siku jamaa alizidisha muda wake wa kazi kutoka saa 6 mpaka 12 jioni, kwa kuhudumia wateja. Huyu mwamba aliniaminisha kuwa si watumishi wote ni wahuni. Bali kuna wapiga kazi kweli kweli.

Hongera sana mwamba kama umesoma uzi huu basi big up man, soon utatoka sehemu moja na kwenda nyingine kaka

Anapenda anachokifanya.
 
Ulivyotaja jina la jose nimemkumbuka mwamba mmoja pia anaitwa jose alikuwa pale uhamiaji posta yule jamaa kwakweli kwa anajituma kinoma yaan tulijikuta watu wengi tuliohudumiwa na huyo jamaa tulikaa pembeni na kuanza kumsifia kwa huduma aliyotupatia. Watu kama hao wapo ila sijui inakuwaje hawapandagi vyeo na kuwa top kwenye sehem zao za kazi. (ningekuwa na uwezo kwa ile siku ningempandisha vyeo fasta)

Mara ya mwisho nilimuona pale airport ila sijui kama yupo mpaka leo au wamemtupa maporini akahudumie visiki

Back
Top Bottom