Kuna watu watabisha hapa

Kuna watu watabisha hapa

Kuna wanaojidanganya kuwa 'Kama una uwezo wa kupata maziwa, kuna haja gani ya kufuga ng'ombe?' Watu wa mtazamo huo wanaula wa chuya wakishafikia ubabu, kwani watakimbiwa kama ukoma, after all bint gani aliye tayari kukaa eda katika umri mdogo!
 
K-lyn Vs Reginald. Nani kakundaganya? Jibu unalo!
 
ngoja kwanza niwaone walioshindwa kama watakuelewa
 
Bro. mkumbushe mwenye bango hilo awastue na wasioolewa waolewe maanawako wengi inaweza iksaidia.
 
Back
Top Bottom