Kuna watu watabisha hapa

Tatizo Mkuu walio wengi sasa ni Mafisi na Majambazi. Labda kizazi kijacho sisi ndio tutakua Majizi Mkuu!

Mkuu ndoa tamu, piga moyo konde fanya uamuzi wakiume
 
Kwa uelewa wangu maranyingi vitu vizuri huwa vinakua siri, Wewe mbona unaweka wazi mkuu? Au unaniseti?

Ahahhaha LexAid sitaki kuamini kua wewe ni mwoga
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…