Kuna watu wanapandikiza udini

Kuna watu wanapandikiza udini

kasinge

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2011
Posts
1,259
Reaction score
319
Kuongelea masuala ya dini na kutuhumu chama flani ni cha kidini hayajaanza leo. Nyerere alitudokezea kwamba mara nyingi watu wakushindwa kwa hoja huanza kutumia mbinu za kupandikiza udini na ukabila.
CUF ilipokuwa kwenye PEAK tukashawishiwa ni chama cha kiislam. CHADEMA nao walipojipambanua wakaanza kusema ni chama cha wachaga. Sasa la uchaga limekosa nguvu wanaenda hatua ya mwisho kwamba ni chama cha Kikristo.
Kwa sasa CHADEMA na CUF na vyama vingine wameungana. Mimi ni mwanamageuzi. Nashauri viongozi wa UKAWA mnapokutana mtafute jinsi ya kuweza kupambana na hii propaganda chafu inayoweza kutufikisha pabaya kama kule Africa ya Kati.
Shame on you.
 
Attachments

  • ukawa.jpg
    ukawa.jpg
    22 KB · Views: 397

Ukitaka kujua chama ni cha kidini au kikabila usipate shida angalia safu za viongozi wake hasa wa juu wa CHAMA.

Hebu angalia CHADEMA

mwenyekiti-Mkristo
katibu mkuu-Mkristo
Mweka hazina-Mkristo
MWENYEKITI BODI YA WADHAMINI MKRISTO
Mwanasheria mkuu-Mkristo
Kiongozi wa BAVICHA-MKristo
Kiongozi-BAWACHA-MKRISTO
Kiongozi baraza la wazee-mkristo

Nenda CUF
mwenyekiti-MUISLAMU
kATIBU MKUU- MUISLAMU
Mkuu WA haki za binadamu-muislamu
Mkuu wa fedha-muislamu
mkuu wa usalama-muislamu
mkuu wa uchaguzi -muislamu
mkuu wa kina mama-muislamu
mkuu wa vijana-muislamu

Kwa hali hiyo utasemaje chama ni cha kidini au siyo?
 
Labda tujue hao viongozi wanapatika vipi? Wengi ni kwa kuchaguliwa. Na kama ni kuchagua bila shaka namchagua mtu ninayemjua. Haimaanishi nikimchagua Mkristo mwenzangu ndo chama kinakuwa cha kikristo au kiislamu. Lakini sasa wameungana. Tuone.
 
Ukitaka kujua chama ni cha kidini au kikabila usipate shida angalia safu za viongozi wake hasa wa juu wa CHAMA.

Hebu angalia CHADEMA

mwenyekiti-Mkristo
katibu mkuu-Mkristo
Mweka hazina-Mkristo
MWENYEKITI BODI YA WADHAMINI MKRISTO
Mwanasheria mkuu-Mkristo
Kiongozi wa BAVICHA-MKristo
Kiongozi-BAWACHA-MKRISTO
Kiongozi baraza la wazee-mkristo

Nenda CUF
mwenyekiti-MUISLAMU
kATIBU MKUU- MUISLAMU
Mkuu WA haki za binadamu-muislamu
Mkuu wa fedha-muislamu
mkuu wa usalama-muislamu
mkuu wa uchaguzi -muislamu
mkuu wa kina mama-muislamu
mkuu wa vijana-muislamu

Kwa hali hiyo utasemaje chama ni cha kidini au siyo?

ccm m/kiti muislam,Katibu muislam
 
Kuongelea masuala ya dini na kutuhumu chama flani ni cha kidini hayajaanza leo. Nyerere alitudokezea kwamba mara nyingi watu wakushindwa kwa hoja huanza kutumia mbinu za kupandikiza udini na ukabila.
CUF ilipokuwa kwenye PEAK tukashawishiwa ni chama cha kiislam. CHADEMA nao walipojipambanua wakaanza kusema ni chama cha wachaga. Sasa la uchaga limekosa nguvu wanaenda hatua ya mwisho kwamba ni chama cha Kikristo.
Kwa sasa CHADEMA na CUF na vyama vingine wameungana. Mimi ni mwanamageuzi. Nashauri viongozi wa UKAWA mnapokutana mtafute jinsi ya kuweza kupambana na hii propaganda chafu inayoweza kutufikisha pabaya kama kule Africa ya Kati.
Shame on you.

Kama tuliaminishwa kuwa CUF ni ya Waislamu na CHADEMA ni ya Wakristo na sasa wameungana, wewe wasiwasi wako ni nini!? Hizo propaganda zimepitwa na wakati na hazina impact yoyote ukizitaja saivi! Waeneza propaganda wamebaki na hii; Mkichagua wapinzani wataleta Wazungu waje kutawala, Wataleta ushoga! Rejea maelezo ya Li Savimbi
 
Ukitaka kujua chama ni cha kidini au kikabila usipate shida angalia safu za viongozi wake hasa wa juu wa CHAMA.

Hebu angalia CHADEMA

mwenyekiti-Mkristo
katibu mkuu-Mkristo
Mweka hazina-Mkristo
MWENYEKITI BODI YA WADHAMINI MKRISTO
Mwanasheria mkuu-Mkristo
Kiongozi wa BAVICHA-MKristo
Kiongozi-BAWACHA-MKRISTO
Kiongozi baraza la wazee-mkristo

Nenda CUF
mwenyekiti-MUISLAMU
kATIBU MKUU- MUISLAMU
Mkuu WA haki za binadamu-muislamu
Mkuu wa fedha-muislamu
mkuu wa usalama-muislamu
mkuu wa uchaguzi -muislamu
mkuu wa kina mama-muislamu
mkuu wa vijana-muislamu

Kwa hali hiyo utasemaje chama ni cha kidini au siyo?

Samahani mkuu naomba unifahamishe hili; JE CCM NI CHAMA CHA DINI GANI!? KIKRISTO, KIISLAMU!? NIFAHAMISHE TAFADHALI!
 
Kwa hiyo wameungana dini zote.Kumbe si mbaya.:becky:
 
Kama tuliaminishwa kuwa CUF ni ya Waislamu na CHADEMA ni ya Wakristo na sasa wameungana, wewe wasiwasi wako ni nini!? Hizo propaganda zimepitwa na wakati na hazina impact yoyote ukizitaja saivi! Waeneza propaganda wamebaki na hii; Mkichagua wapinzani wataleta Wazungu waje kutawala, Wataleta ushoga! Rejea maelezo ya Li Savimbi

Ni lazima tuseme. Ni lazima wajue kwamba tunajua huo ndo ujanja wao wa mwisho.
 
Kukataa udini ktk hivyo vyama ni kujidanganya,mbona vyama vyengine havikuambiwa hivyo?
 
Divide and rule hiyo, imefanya kazi tangu Enzi ya ukoloni ni itaendeea kutumika
 
Ni lazima tuseme. Ni lazima wajue kwamba tunajua huo ndo ujanja wao wa mwisho.

Mkuu hiyo timu inayotawala huwa haishindi kwa fairplay, ni lazima wanunue waamuzi pamoja na wachezaji wanaotoka kwa timu ya wapinzani wao! Ni lazima wafanye hujuma mbalimbali ili waendelee kuwa mabingwa!
 
Samahani mkuu naomba unifahamishe hili; JE CCM NI CHAMA CHA DINI GANI!? KIKRISTO, KIISLAMU!? NIFAHAMISHE TAFADHALI!

CCM si chama cha Kikristo wala Kiislamu, ni chama cha kishetani na ndiyo maana viongozi wake hawana uadilifu hata kidogo. Kuiba kwao ni halali, kuua raia ni halali. Hakuna msafi ndani ya CCM. Ukiwa CCM, huna hofu na Mungu kwasababu CCM hawaamini uwepo wa Mungu bali shetani.
 
Kabisa Mkuu.
 
Ukitaka kujua chama ni cha kidini au kikabila usipate shida angalia safu za viongozi wake hasa wa juu wa CHAMA.

Hebu angalia CHADEMA

mwenyekiti-Mkristo
katibu mkuu-Mkristo
Mweka hazina-Mkristo
MWENYEKITI BODI YA WADHAMINI MKRISTO
Mwanasheria mkuu-Mkristo
Kiongozi wa BAVICHA-MKristo
Kiongozi-BAWACHA-MKRISTO
Kiongozi baraza la wazee-mkristo

Nenda CUF
mwenyekiti-MUISLAMU
kATIBU MKUU- MUISLAMU
Mkuu WA haki za binadamu-muislamu
Mkuu wa fedha-muislamu
mkuu wa usalama-muislamu
mkuu wa uchaguzi -muislamu
mkuu wa kina mama-muislamu
mkuu wa vijana-muislamu

Kwa hali hiyo utasemaje chama ni cha kidini au siyo?

Mkuu kwa style hiyo na wengine anweza kuchagua badhi ya vyeo na viongozi ndani ya MACCM na kupanga wanavyotaka.

kwanini uweki sawasawa kila pahali?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom