Kuna watu wanaishi Dar, lakini hawajui hapa ni wapi

pantheraleo

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
691
878
Habari,

Dar kwa kuiangalia ni ndogo lakini kufahamu sehemu ni kitu kingine kabisa.

Kuna watu wanaishi Dar mika nenda rudi, lakini hii picha ukimuuliza ni wapi hana jibu.

Wakuu, hapa ni wapi?
IMG_20191115_103102_6.jpg
 
Back
Top Bottom