Maxence Melo hana ndevu (nyeupe)















ha ha ha hukawii kupata bani ya maisha - yaani boss wetu umbandike humu bila idhini yake!!Muweke na Melo hapo karibu tuwalinganishe
Weka na Maxine tufananishe zaidi.
Kucheka (sijui ndiyo kutabasamu), wanafanana
Joke gani? au unaogopa banwala hawafanani! melo ana mdomo mpana(joke)
mmh dada unamsifia bossi hadi ananuna aisee
kuna wengine wana fananisha mawe na mtu.watu hatufanani jamani ndo maana kila mtu ana fingerprint yake
Kwahiyo si utani?Joke gani? au unaogopa ban