- Thread starter
- #21
Hakuwai kuwa na wazo la kustafu Kabla ya 60,lakini alivyoingia mzee wa nyika ikabidi mzee astaafu kwa 55.Ingawa sikubaliani sana na wewe,nikama tu jambazi vile kila akitoka hajui kama atarudi,sasa mzee na muda umemsapoti kusingekuwa na machale angekuwa labda 37yrs.