min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,402
- 178,006
Paradox hiiHahhahaa bakhresa😅
Negative energy ina attract sana!
Paradox hiiHahhahaa bakhresa😅
Negative energy ina attract sana!
Umeeleweka ila kama yamo ndani ya mada kwanini tusiyaongelee? Kwamba usipomcheka mtu hutopitia changamoto?Soma vzr elewa sijaandika kuhusu utajiri au umaskini ingawa na vyenyewe vinalengwa na ujumbe , ujumbe unahusu kutofurahia matatizo ambayo mtu mwengine anapitia maana na wewe pia unaweza ukapitia matatizo hayo hayo au hata zaidi ya hayo maana binadamu haijui kesho yake , mfano kuna mtu anaweza akamdhihaki mgonjwa halafu na yeye yakaja kumkuta mazito zaidi
Ni uungwana tu , ila unaweza furahia usipate tatizo kama hilo na unaweza usifurahi na ukapata matatizo tuKatika Dini ya ki kristo biblia inakataza kufurahia matatizo ya wengine
Hahah shem na unaweza usipatwe na lolote!shemej tajir utamcheka kwa lipi? 😂😂😂
kucheka huku muhimu kuambatane na dharau au njodo.
Si ndio😅Masikin atachekwa kwa mengi.
Inawezekana pia hata usipomcheka bado hauwez kuwa tajiri na pia tunaweza kuwa masikin vile vile 😂😂😂😂.
Hapo umenena!Dunia ina mambo.
But nina amini kwenye power of thoughts na kwenye kuvipa vipaumbele mawazo chanya na kuachana na mawazo hasi.
Imani yako tu mkuu, hamna kitu cha kuja kukupata aliyonayo unayemcheka.funny sana, ila inategemea unamcheka nani!
Mtoa mada hajamaanisha hivyo.Umeeleweka ila kama yamo ndani ya mada kwanini tusiyaongelee? Kwamba usipomcheka mtu hutopitia changamoto?
Kumcheka mtu sio sawa lakini haina maana utakuwa kama yeye! Unaweza kupitia au usipitie!
Oh hapo nimekuelewa asante kwa kunielewesha!Mtoa mada hajamaanisha hivyo.
Anamaanisha changamoto zipo kwa ajili ya watu, usishupalie/kumnyooshea mtu kidole kwa kile anachokipitia leo.
Inawezakana na wewe kuna siku utakipitia ama ikawa zaidi ya hayo.
Wamatumbi wanasema be humble….Never say never.
🤝🤝🤝Oh hapo nimekuelewa asante kwa kunielewesha!