Kuna watu wamekuwa kama wale waliowacheka

Mfurahie Elon musk uwe kama yeye , kama unaweza kucheka mtu uwe kama yeye pia si unaweza mfurahia ukawa kama yeye ?

Sasa tajiri utamcheka kwa dharau?. Bila shaka hauwez. Kwahiyo hii sio real.

Ila ikimcheka mtu kwa dharau ile ya kweli, its Likely ile energy itakurudia na ww huko mbeleni.

Dunian kuna energy nying sana.
pia kuna law of attraction.

Karma is real.
 
Nipe mechanism ya kumcheka mtu inavyohamisha tatizo lake lake liwe la kwako , haya namcheka mtu mwenye kitambi hahhahahahaha
U got me wrong , sio kwamba ukimchela mtu lazma unakuwa kama yeye , point yangu ni matatizo unayoweza ukamcheka mtu unaweza na wewe ukapitia kwamaana ni changamoto za ki Dunia
 
Hakika, pia sio mbaya ukaonyesha kipimo cha utu sio najikwaa unacheka mpaka unaonekana chizi !
Ikinichekesha nacheka vizuri tu, ni kwa furaha yangu.

Huoni contents za siku hizi huko mtandaoni, wanaziita pranks, ndio ziko kwa namna hiyo na laana hawapati bali mafanikio huku sisi tunacheka.
 
Sasa tajiri utamcheka kwa dharau?. Bila shaka hauwez. Kwahiyo hii sio real.

Ila ikimcheka mtu kwa dharau ile ya kweli, its Likely ile energy itakurudia na ww huko mbeleni.

Dunian kuna energy nying sana.
pia kuna law of attraction.

Karma is real.
Nipe mechanism, watu wa taifa mengine wanatucheka kila siku wamatumbi , magonjwa ya ajabu ajabu umaskini wa kutisha maradhi na kutuita shithole , hizo imani sijui huwa mnatoa wap
 
Tuwe specific, tusiweke hili kwenye context kubwa kama ishu ya kimataifa.

Tuanzie kwa sisi na sisi.
ww leo hii unaweza ukamcheka masikini, mgonjwa , kilema nk.
But huwez jua maisha yako yatakuwaje huko mbeleni.

Kuna namna universe ina attract energy yako. Na thoughts zako.
Unaweza kila siku ukajisemea mm siwez kuwa hivi na hivi. But one day unaweza kuwa kama vile.

Unaweza ukaaapa na kuapa kuwa huwez fanya kitu flan. Ila kuna siku utafanya.

Kucheka ni jambo la kuonyesha dharau, na jambo la dharau inawezekana siku moja likakupata na ww.
 
Mjomba , hakuna kitu kama hicho nakucheka nahakuna kitu kitanitokea , hapa labda tuongelee tu busara, utu na uungwana kwenye jamii
 
Ukimcheka tajiri unakuwa kama yeye? Au ni mpaka umcheke mlemavu au masikini!
Mtoa mda kaongelea kutomcheka mtu mwenye changamoto ni uungwana , yupo sahihi, ila huku kwingine sijui jinene mema sema mimi ni tajiri ,nakutamkia leo utapata gari lako , hakuna kitu ni kujilisha upepo tu
 
Soma vzr elewa sijaandika kuhusu utajiri au umaskini ingawa na vyenyewe vinalengwa na ujumbe , ujumbe unahusu kutofurahia matatizo ambayo mtu mwengine anapitia maana na wewe pia unaweza ukapitia matatizo hayo hayo au hata zaidi ya hayo maana binadamu haijui kesho yake , mfano kuna mtu anaweza akamdhihaki mgonjwa halafu na yeye yakaja kumkuta mazito zaidi
 
shemej tajir utamcheka kwa lipi? 😂😂😂
kucheka huku muhimu kuambatane na dharau au njodo.

Masikin atachekwa kwa mengi.
Inawezekana pia hata usipomcheka bado hauwez kuwa tajiri na pia tunaweza kuwa masikin vile vile 😂😂😂😂.

Dunia ina mambo.
But nina amini kwenye power of thoughts na kwenye kuvipa vipaumbele mawazo chanya na kuachana na mawazo hasi.
 
Soma vzr elewa sijaandika kuhusu utajiri au umaskini ingawa na vyenyewe vinalengwa na ujumbe , ujumbe unahusu kutofurahia matatizo ambayo mtu mwengine anapitia maana na wewe pia unaweza ukapitia matatizo hayo hayo au hata zaidi ya hayo maana binadamu haijui kesho yake , mfano kuna mtu anaweza akamdhihaki mgonjwa halafu na yeye yakaja kumkuta mazito zaidi
Ni uungwana tu, ila hata usipofurahia yanaweza kukukuta mazito pia
 
Mtoa mda kaongelea kutomcheka mtu mwenye changamoto ni uungwana , yupo sahihi, ila huku kwingine sijui jinene mema sema mimi ni tajiri ,nakutamkia leo utapata gari lako , hakuna kitu ni kujilisha upepo tu
Hahhahaa bakhresa😅

Hakuna mtu hajui mtu mwenye changamoto hachekwi!

Negative energy ina attract sana!
 
Back
Top Bottom