Wangingombe ni njiani tu kama unaenda mbeyHivi wadau kuna basi inakwendwa Wanging'ombe kuna dogo anatakiwa asafiri au mpaka apande ya Mbeya?....
Wanging'ombe ni wilaya pana.sasa anakwenda maeneo gani.ni makao makuu ya wilaya ( panaitwa Igwachanya)au wapi? kwa hiyo optiob ni 2 tuu magari ya Mbeya au Njombe.otherwise kama ni wangingo'ombe kwa ajili ya eneo ni barabarani kuelekea mbeya.Ili kufika makao makuu ya wilaya yenyewe ni mbali tuu na location nyingine kabisaHivi wadau kuna basi inakwendwa Wanging'ombe kuna dogo anatakiwa asafiri au mpaka apande ya Mbeya?....
Mkuu hata sikujui fusa atakazoona nitakuja tutashare hapa atakaporudiKuna fursa gani huko Wangingombe tuje kuwekeza..?
Mkuu hapo umenena nimecheki magari ya kesho naona ni tunduma na sumbawanga nauli iko 56000-60000.Hakuna basi linaishia hapo...vip unataka unafuu wa nauli?
Basi cheki basi za Njombe, atashuka makambako, then toka hapo mpka huko nauli haizidi 5000 nadhan!Mkuu hata sikujui fusa atakazoona nitakuja tutashare hapa atakaporudi
Hamna noma. Kama unafuu, angedaka IT jioni ya leo imsogeze hata iringa, bei rahisi. Kesho angedamkia kutafuta usafiri wa huko.Mkuu hata sikujui fusa atakazoona nitakuja tutashare hapa atakaporudi