Kuna watu vichaaa jamani ahahhahaha

kakata gogo hadharani ingekua bongo nimgemlisha hicho kinyesi na hiyo tishu kwa pamoja afu msamaha ungefuata
 
Aseeeh.. Halafu anavyo linyanyua hata halimeguki. Hakuna mabaki wala nini. Yan alikuja yameshambana au alivyozinguliwa akasikia yanabana.

Sasa assume huyu ndio kakubebea mtoto. Utaomba ugeuke caterpillar loooh!!
 
Ahahahaha
 
Jamaa alikuwa anaenda kumwondoa demu aliposhusha mzigo ikabidi akimbie kwa speed ya swala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani ukijiona we kichaa jua kuna watu wako mirembe kabisaaa
 
Huyu demu ni BANDIDU, sio kwa ukauzu huo, nimecheka sana hapa, sijui alikerwa na nini hapo!!!
 
Aisee kaazi kweli kweli, yaani nimecheka mpaka basi.

Huyu mwanamke siyo tu kichaa, bali ni mchafu sana, kashika kinyesi na kumtupia jamaa, kisha kajifuta kiaina na kuvaa hicho ki-body tight chake tena inaonekana hata "chupi" alikuwa hajavaa. Lazima alipotoka hapo alikuwa ananuka kinyesi.

​
Ha ha ha ha ha mkuu Mama Sabrina umenichekesha sana huu "uzi" wako, kweli Jamii Forums hamna "stress" kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…