Kuna watu ni wapuuzi

Kuna watu ni wapuuzi

Basi Nenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
20,796
Reaction score
48,044
Leo nimekumbuka tukio moja
hii ni true story
kuna siku tupo na jamaa zangu watatu pamoja na mimi ni wa nne
tunatoka hostel wakati huo niko chuo tunaenda kununua chakula mida ya saa mbili usiku

Kufika maeneo fulani ikaja gari ,ikasimama pembeni yetu,dereva akamuita rafiiki yetu mmoja [we ... njoo] , rafiki yetu huyo akaenda kufika wakawa wanaongea huku sisi tunamsubiri rafiki yetu, aliporudi jamaa akatuambia ex wake alikua kwenye hiyo gari yupo na bwana wake ambaye ndio dreva na jamaa kamuita mwanetu kamuuliza

Unamjua .... [jina la yule demu] jamaa akauliza kwani vipi ? akaulizwa ni nani yako ? basi wakazinguana pale,

Nikaamini ule msemo usimuamini mwanamke
 
Una uhakika tumekuelewa?
mwanamke mwenzio kaachwa na rafiki yangu
akaenda kutafuta danga, siku moja akaliambia danga lake kuwa rafiki yangu anamsumbua,danga akamuita rafiki yangu kumzingua
 
Oooh Kwaiyo tatizo ni yule bwana kua na gari afu nyie mna tembea kwa miguu
naijatwittersavages-20190528-0001.jpeg
 
Sio kila kitu uandike jamio forum.. Vingine hadithia hata kwa rafiki zako ili siku iende....
 
Duh! Kama ulikuwa chuo na huu ndio uandishi wako, basi hicho chuo hakifai.
 
Duh! Kama ulikuwa chuo na huu ndio uandishi wako, basi hicho chuo hakifai.
tatizo hamjazoea uandishi wa hivo
mkuu, usikariri kila stori lazima iwe na majina ya kutungwa, mimi binafsi uniandikie stori humu ina majina ya kutunga sisomi, najua kilichowachanganya ni kwamba sijaweka majina,nimefanya hivo makusudi
 
Back
Top Bottom