Kuna watu ni wabinafsi sana

Kuna watu ni wabinafsi sana

Dadakidoti

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2024
Posts
403
Reaction score
1,427
Salaam.

Moja kwa moja kwenye mada.
kwa ufupi kuna kipindi fulani nilikuwa na kipindi kigumu sana. Kuna kaka mmoja kaka wa rafiki yangu akaniunganishia kazi hapa Dar es Salaam. Ila wakati napata kazi hii nilikuwa mkoani msibani hivyo boss wangu alinitumia nauli kutoka mkoani kuja Dar kwa ajili ya kazi.

Wakati tunapatana mshahara maongezi yetu yalikuwa kwenye simu tu. Alinuuliza nataka kulipwa sh ngapi nikamwambia nataka laki tatu. akasema atanilipa sh 240,000/= ila mauzo yakipanda ataniongezea.

Na ni sehemu ya kupanda magari mawili kutoka napoishi mpaka kazini. na unajitegemea kwa kila kitu. kwa hela hiyo hiyo. kwa kuwa nilikuwa na shida ilibidi nikubali.
akaniambia mauzo yakipanda ataniongezea na nikifanya kazi ndani ya miezi mitatu angeniongezea mpaka laki tatu niliyoitaka.

Nikaanza kazi sasa ni miezi kumi na moja toka nimeanza kazi hajawahi niongezea hata mia. na mauzo yalipanda kutoka laki na nusu kwa siku mpaka sasa tunauza laki tatu mpaka nne kwa siku. kazi kunisifia kwa mdomo tu.

Kuna wizi ulikuwa unafanyika hapa ofisini nilifanikiwa kuudhibiti na alokuwa anawaibia ni mtoto wao mtoto wa kaka wa boss wangu kwani mwanzoni ndo walikuwa wakiendesha hii biashara.

Jumatatu kuna mtu alikuja kazini kwetu akasema kuna ofisi ya kichina wanahitaji mfanyakazi mwenye sifa kama zangu (secretary) atanifanyia mpango. nikamwambia sawa nikauliza wanalipa sh ngap akanambia laki tano nikasema nipo tayari ila akasema mshahara wa kwanza lazima tugawane nikakubaliana nae akasema ngoja afanye mpango. huyo mtu anafanya kazi kwa Wachina.

Wakati wa maongezi hayo kuna binti wa boss alikuwepo alisikia kila kitu akaenda kumwambia baba yake. jana boss kaja analalamika kuwa siwezi kwenda kufanya kazi sehemu yoyoye sababu yeye alinitumia naul kutoka mkoani.

Pili, duka lake lilikuwa linaanza kuchangamka lingeendelea hivi mpaka january angeniongezea hela. na kudai mimi ni mfanyakazi wake siwezi kuacha kazi kwake. nimemshangaa sana kazi yenyewe haijawa rasmi ananiambia nikija kuacha kazi nimpe taarifa miezi minne mbele ili ajipange. Kweli watu ni wabinafsi sana.
 
Ila ukumbuke hiyo laki tatu inayopatikana kwa sasa kwenye hayo mauzo ya siku siyo faida! Ukija kuchanganua unaweza kukuta faida kwa siku haifiki hata laki!

Na bado huyo Bosi wako anawajibika kulipa marejesho ya benki kila mwezi (kama yapo), kuna kodi ya TRA na Halmashauri! Kuna kodi ya pango! Na yeye mwenyewe angetamani apate faida kubwa, ili apige hatua ya kimaendeleo, nk.

Hivyo kwa upande wangu nakushauri tu uwe mpole, au uhamie huko kwa Mchina kwenye mshahara kubwa kuliko huo unaolipwa sasa. Na pia utambue hicho anachofanya Bosi wako, siyo ubinafsi! Huo ni ubepari. Siku zote huo mfumo unamtaka mtu apiganie faida kubwa, huku akihakikisha gharama za uendeshaji ziko chini.
 
240k per month dar si bora ubaki mikoani? kwa ulivoandika hapo hio ni hela ya usafiri tu kwa mwezi.

Maboss wa kibongo wanadhan kutajirika ni kumnyonya mfanyakazi, na shida pia ya wafanyakazi wa kibongo ukiwaongezea maslahi wanapandisha limit na kudai zaidi ndio maana maboss wengi wanajitahidi kukomalia palepale hadi breakpoint uache kazi atafute mwingine.

Ni matokeo ya matatizo kwa pande zote mbili, hii naongea kama mtu aliepitia pande zote, kuajiri na kuajiriwa
 
Salaam.

Moja kwa moja kwenye mada.
kwa ufupi kuna kipindi fulani nilikuwa na kipindi kigumu sana. Kuna kaka mmoja kaka wa rafiki yangu akaniunganishia kazi hapa Dar es Salaam. Ila wakati napata kazi hii nilikuwa mkoani msibani hivyo boss wangu alinitumia nauli kutoka mkoani kuja Dar kwa ajili ya kazi.

Wakati tunapatana mshahara maongezi yetu yalikuwa kwenye simu tu. Alinuuliza nataka kulipwa sh ngapi nikamwambia nataka laki tatu. akasema atanilipa sh 240,000/= ila mauzo yakipanda ataniongezea.

Na ni sehemu ya kupanda magari mawili kutoka napoishi mpaka kazini. na unajitegemea kwa kila kitu. kwa hela hiyo hiyo. kwa kuwa nilikuwa na shida ilibidi nikubali.
akaniambia mauzo yakipanda ataniongezea na nikifanya kazi ndani ya miezi mitatu angeniongezea mpaka laki tatu niliyoitaka.

Nikaanza kazi sasa ni miezi kumi na moja toka nimeanza kazi hajawahi niongezea hata mia. na mauzo yalipanda kutoka laki na nusu kwa siku mpaka sasa tunauza laki tatu mpaka nne kwa siku. kazi kunisifia kwa mdomo tu.

Kuna wizi ulikuwa unafanyika hapa ofisini nilifanikiwa kuudhibiti na alokuwa anawaibia ni mtoto wao mtoto wa kaka wa boss wangu kwani mwanzoni ndo walikuwa wakiendesha hii biashara.

Jumatatu kuna mtu alikuja kazini kwetu akasema kuna ofisi ya kichina wanahitaji mfanyakazi mwenye sifa kama zangu (secretary) atanifanyia mpango. nikamwambia sawa nikauliza wanalipa sh ngap akanambia laki tano nikasema nipo tayari ila akasema mshahara wa kwanza lazima tugawane nikakubaliana nae akasema ngoja afanye mpango. huyo mtu anafanya kazi kwa Wachina.

Wakati wa maongezi hayo kuna binti wa boss alikuwepo alisikia kila kitu akaenda kumwambia baba yake. jana boss kaja analalamika kuwa siwezi kwenda kufanya kazi sehemu yoyoye sababu yeye alinitumia naul kutoka mkoani.

Pili, duka lake lilikuwa linaanza kuchangamka lingeendelea hivi mpaka january angeniongezea hela. na kudai mimi ni mfanyakazi wake siwezi kuacha kazi kwake. nimemshangaa sana kazi yenyewe haijawa rasmi ananiambia nikija kuacha kazi nimpe taarifa miezi minne mbele ili ajipange. Kweli watu ni wabinafsi sana.
Hili nalo mpaka upewe ushauri hama acha kazi yake kimya kimya kama hataki. Kikubwa usimwibie mkabjshi ofici yake na hesabu zake akisha zikagua amsha
 
Ila ukumbuke hiyo laki tatu inayopatikana kwa sasa kwenye hayo mauzo ya siku siyo faida! Ukija kuchanganua unaweza kukuta faida kwa siku haifiki hata laki!

Na bado huyo Bosi wako anawajibika kulipa marejesho ya benki kila mwezi (kama yapo), kuna kodi ya TRA na Halmashauri! Kuna kodi ya pango! Na yeye mwenyewe angetamani apate faida kubwa, ili apige hatua ya kimaendeleo, nk.

Hivyo kwa upande wangu nakushauri tu uwe mpole, au uhamie huko kwa Mchina kwenye mshahara kubwa kuliko huo unaolipwa sasa. Na pia utambue hicho anachofanya Bosi wako, siyo ubinafsi! Huo ni ubepari. Siku zote huo mfumo unamtaka mtu apiganie faida kubwa, huku akihakikisha gharama za uendeshaji ziko chini.
Boss wake alimwambia mauzo yakipanda na sio faida ikipanda.
 
Back
Top Bottom