Kuna watu ni wabinafsi sana

Kuna watu ni wabinafsi sana

Sister acha tu! kama kuna watu hawaamini mambo ya kiroho basi hawajapitia changamoto zinazoitaji Nguvu ya Mungu! Dunia ina mambo mengi sana hii!
Neema ya Mungu inahitajika! mbele ya safari nitakuja kuleta story hapa ya niliyopitia na Namna gani Mungu aliniokoa.!
 
siku ukileta usisahau kunitag wenda nitajifunza kitu.
 
siku ukileta usisahau kunitag wenda nitajifunza kitu.
Sawa usijali! Binadamu sio wema kabisa Na adui hatoki mbali ni wa karibu yako kabisa!
Na ndo maana tujitahidi kujua hatma ya maisha yetu hapa Duniani itakufanya uenende vile Mungu ameku program.

nitakufollow!
 
siku ukileta usisahau kunitag wenda nitajifunza kitu.
Hakika utajifunza kitu! utastaajabu mtu katika mihangaiko yake anatua kwa mganga akijua kuna suluhisho. Mganga zaidi ya mmoja anamwambia Mbona naona hii haijawai tokea tangu naanza uganga.." Mbona namuona Yesu na Bikira maria hawa hapa na Hawa wenye mabawa ndio wanakulinda, Hakika wewe ni mtu wa Mungu! ulishawahi ona mganga anakusalisha Baba yetu uliyembinguni..? na anakuambia Nunua biblia usome, ufanye sana maombi na ununue Rozali na mwili wako haupatani na mambo ya uchawi? usije kudanganywa sijui watu wakuague sijui nini....! Unaambiwa Utafute mtumishi mwenye nguvu za Mungu akuondolee hilo tatizo ndipo mtumishi wa Mungu bwana akamleta na nilioteshwa yeye kabla ya kwenda kwake na the same day nikawa delivered na Unabii!
Hakika Majira Ya Mungu yalikua yamefika.!

NB; Mungu anatupenda Sana Kuliko tunavojipenda.
Huyo ndio Mungu!
 
Back
Top Bottom