Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 3,189
- 12,340
Kama alichoandika ni kweli, kumbuka kasema mwanzo biashara ilikua ina mauzo ya 150k yeye kapandisha hadi 300k, hizo assumptions ulizoweka kama ziko sahihi basi angekua amefunga biashara kitambo.Ila ukumbuke hiyo laki tatu inayopatikana kwa sasa kwenye hayo mauzo ya siku siyo faida! Ukija kuchanganua unaweza kukuta faida kwa siku haifiki hata laki!
Na bado huyo Bosi wako anawajibika kulipa marejesho ya benki kila mwezi (kama yapo), kuna kodi ya TRA na Halmashauri! Kuna kodi ya pango! Na yeye mwenyewe angetamani apate faida kubwa, ili apige hatua ya kimaendeleo, nk.
Hivyo kwa upande wangu nakushauri tu uwe mpole. Na huo siyo ubinafsi! Huo ni ubepari. Siku zote huo mfumo unamtaka mtu apiganie faida kubwa, huku akihakikisha gharama za uendeshaji ziko chini.
Huyo boss faida anapata ni vile tu maboss wa kibongo wana mentality nloongelea hapo juu, wanaamini kwenye unyonyaji wa wafanyakazi lkn hio pia ni matokeo ya tabia za wafanyakazi walio wengi, it's cause and effects