kuna watu ni wababe jamani

kuna watu ni wababe jamani

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,800
Reaction score
16,821
nakumbuka nilishakaaga sehemu mpangaji mwenzangu akanigongea mida ya jioni akaniambia naomba niazimishe kiasi flani cha pesa hapa sina sijapitia ATM alafu akadai kuna mtu nataka nimtumie jamaa ni mkurya,nikampatia kwa madai ya kunipa kesho yake jioni sasa mimi nimekaa almost kama wiki hivi jamaa hajiongezi mmh nikasema kama alivokuja kunigongea na mimi ngoja niende japo hakikua kiasi kikubwa cha ela ila sikuona umuhimu wa kunyamaza kwan halikua patano letu unajua jamaa alinijibuje SASA MIMI UNANIDAIJE WAKATI SINA(imagne kwa lugha ya kikurya) mpaka naondoka sikumdai
WEWE USHAFANYIWAGA UBABE GANI?
 
Me kuna MTU muhaya aliniambia ananukia damu kwaiyo nisimsogelee na nikatii
 
hahhaha dah mimi mpaka leo nawaza hivi watu wengine kwa nini wanaona wenzao hawana akili
 
nakumbuka nilishakaaga sehemu mpangaji mwenzangu akanigongea mida ya jioni akaniambia naomba niazimishe kiasi flani cha pesa hapa sina sijapitia atm alafu akadai kuna mtu nataka nimtumie jamaa ni mkurya,nikampatia kwa madai ya kunipa kesho yake jioni sasa mimi nimekaa almost kama wiki hivi jamaa hajiongezi mmh nikasema kama alivokuja kunigongea na mimi ngoja niende japo hakikua kiasi kikubwa cha ela ila sikuona umuhimu wa kunyamaza kwan halikua patano letu unajua jamaa alinijibuje sasa mimi unanidaije wakati sina(imagne kwa lugha ya kikurya) mpaka naondoka sikumdai
wewe ushafanyiwaga ubabe gani?
tabia ya mtu haina uhusiano na kabila wala dini.
 
Waliosema "kukopa sherehe,kulipa matanga" hawakukosea. ....
 
tabia ya mtu haina uhusiano na kabila wala dini.

sijataja dini hapo,nimesema kabila sababu jamaa analafudhi ile ya kikurya na kingine nimetengeneza lugha ya picha maana ningeambiwa leta picha,sor kama nimekuudhi
 
Mura kama huna makovu usoni wewe siyo Mura..........na yakiwa mgongoni pia wewe siyo mura maana ulikuwa unakimbia vita............sisi Mura hatukimbii ngeu.........
 
Mdai kama vipi peleka kesi kwa mwenyekiti wa mtaa anakua mbabe kwenye jasho la mtu
 
Mura kama huna makovu usoni wewe siyo Mura..........na yakiwa mgongoni pia wewe siyo mura maana ulikuwa unakimbia vita............sisi Mura hatukimbii ngeu.........

hahaahaha inatakiwa ikupate ya uso?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom