Kuna watu makatili kweli kweli, achoma paka moto akiwa hai

Nimefuga kuku sana wa kienyeji mbegu za hapa hapa nchini, mbegu ya malawi (wale weusi tiiii) na mbegu ya Kuroiler. Kwa kweli inauma sana pale kuku anapokufa mda mwingine unakosa hadi raha. Kuna kuku kishingo kila nikiingia kwenye malazi ya kuku huwa alikuwa ananifata nyuma nyuma nikstokea kumpenda sana yule kuku. Siku mojan nimedamka mapema kwenda kulisha kuku nikakuta kuku wangu kishingo kadanja nilikosa raha siku nzima. Baba yangu mdogo mfugaji nae alikuja nisabahi home ile kunikuta na simanzi akanitusi acha ufala wewe akisema “mimi nafuga ngombe na mbuzi na wanakufa, wewe kafa kuku unatia huruma, angekufa ngombe wa million 3 si ungekufa??” hahah

Nimeandika haya nikimfikiria huyu mchaga ana roho ya namna gani kuchoma paka moto. Mie kama kuna paka anakula mifugo ningemuwekea sumu kwenye samaki. Lakini huyu jamaa ana roho ya namna gani. Mimi ni mchaga wa mkuu Rombo lakini aisee kuna wachaga wana roho ngumu sana. Nawataadharisha wale wenye wenza wa kichaga chungeni sana kuweni makini mnooo...

View attachment 2004793
You are the most idiot in this forum! Inakuwaje una-share video ya ukatili? Ungeeleza tu bila kuweka clip isingeeleweka?
 
You are the most idiot in this forum! Inakuwaje una-share video ya ukatili? Ungeeleza tu bila kuweka clip isingeeleweka?
You must feel like a big person sitting behind on your phone and insult so cowardly
Accidents happen on roads they dont just read the news on TV without showing the accident SITE with people woonded, do they??

You are the stupid one not me. .
 
🤣🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Andika kiswahili. Nakuapia andika kiswahili hutapoteza chochote kuliko kujidhalilisha na kiingereza ugoko kama hiki.
 
Ni ukatili haswaa ucoelezeka, ni mmachame nini uyo!!!! Ndiyo maana hampewi nchi kuongoza, hatuna imani na wachagga aise, wachache tu wanajielewa.

Njooni usukumani muone wasukuma walivyo wakarimu, ijapokuwa co wote lakini kwangu mimi sukuma tribe ni moja kati ya makabira watuwake wana roho nzuli kuliko kabila lolote nchini. Huu ni mutazamo wangu.
 
🤣🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Andika kiswahili. Nakuapia andika kiswahili hutapoteza chochote kuliko kujidhalilisha na kiingereza ugoko kama hiki.
I am using my PC and I typed woonded instead of wounded, you think you know better
Hahahah am well educated and I speak fluent English
In fact my work requires me to use English all the time
Unless you didnt get my message, it is alright for me

Thanks man:)
:)
 
Paka mda mwingine ana tabia mbovu kama hujamtrain, anaweza tu ukiwa umetenga chakula akapitisha mkia ili ukisuse, ale. Anaweza hata kunya kwenye unga wako wa ugali kana kwamba amekosa sehemu ya kumaliza haja zake. Paka ni mnyama mwenye vitimbwi vingi mno

Ila yeyote anayepambana na paka atakuwa anajiamini sana. Kwa sifa tunazosikia kitaa hafai

Of course kumuuwa paka kwa kumpiga siyo shughuli ndogo

Kuna paka alikuwa anakula sana vifaranga nyumbani bahati mbaya akajichanganya akaingia ndani,nikamfungia aisee Ile show ilikuwa siyo ya kitoto watu wote wakanikimbia nikabaki nae.
Nilipiga mpaka akadondoka

Yule hutakiwi kumpa pumzi anakurukia usoni
 
Ni ukatili haswaa ucoelezeka, ni mmachame nini uyo!!!! Ndiyo maana hampewi nchi kuongoza, hatuna imani na wachagga aise, wachache tu wanajielewa.

Njooni usukumani muone wasukuma walivyo wakarimu, ijapokuwa co wote lakini kwangu mimi sukuma tribe ni moja kati ya makabira watuwake wana roho nzuli kuliko kabila lolote nchini. Huu ni mutazamo wangu.

Mnavyowapiga wake zenu kama ng’ombe ndo ukarimu huo?
 
Tumepewa akili na utashi, Hivyo viumbe havijabahatika kupewa hiyo tunu ya utashi, Mangi alipaswa aumize kichwa afanyaje ajenge miundombinu imara kwenye makazi yake ili paka asivamie. Sasa ajabu Mangi akitoka hapo anaenda kanisani/msikitini kusali, Sasa sijajia anamsalia Mungu huyu huyu wa upendo au Malaika aliyemuasi.
 
Huyu taahira ni wa kupiga shaba kabisa, unatesaje kiasi hicho kiumbe kisicho na utashi wa kujua chochote zaidi ya inner instincts zinazomwambia njaa inauma, kula hicho, huyo mnyama haelewi chochote. Hii roho ilianza kwa wale mbwa waliochoma vifaranga Arusha, tabiaia kama za majibwa yani. Namlaani huyu mchagga kwa kitendo alichokifanya kwa nguvu zangu zote, mshxenzi mkubwa huyo, apigwe shaba kabisa
Unaongea hayajakukuta. Fikiria na hali ngumu hii umekopa hela sehemu ukaamua kiingiza vifaranga vyako vya kuku wa broila ili baada ya mwezi wakupe faida na upunguze deni na ukizingatia bei ya vifaranga iko juu halafu unatoka zako mizunguko unakuta paka kama huyo kala vifaranga wako.

Usilaumu tu kwa kila unachoona vaa uhusika wa huyo mchaga. Haya Mapaka yasiofungwa yanasumbua sana.

Kwamm niliyewahi kupatwa na usumbufu wa Mapaka haya nampongeza jamaa alichokifanya
 
Kama binadamu anaiba anachomwa moto mpk anakufa. Itakuwa kwa huyo paka? Huyo paka ni kibaka mzoefu na kamchoka ndiyo maana kampiga moto.
Paka anaiba samaki, kuku n.k huyo ni mwizi na adhabu yake ni kifo. Alitakiwa ukimkamata unamfunga kwa waya kwenye mti, unamwagia mafuta, unapiga kiberiti.
Sheria ya wanyama iwekwe binadamu na mnyama wote wanahaki ya kufurahia maisha sasa kwa nini watu wakuwa na roho chafu kiasi hiki
 
Kama binadamu anaiba anachomwa moto mpk anakufa. Itakuwa kwa huyo paka? Huyo paka ni kibaka mzoefu na kamchoka ndiyo maana kampiga moto.
Paka anaiba samaki, kuku n.k huyo ni mwizi na adhabu yake ni kifo. Alitakiwa ukimkamata unamfunga kwa waya kwenye mti, unamwagia mafuta, unapiga kiberiti.
Nauunga mkono hoja, kama vibaka tunawachoma moto sembuse paka jizi.
 
Back
Top Bottom