Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,085
Si kwamba ni mahanithi la hasha ila tu hawana kabisa zile hisia za mapenzi na mtu yeyote yule,
Ni wao na maisha yao tu hawana rafiki wala urafiki na yeyote yule,
Ni watu wabaya kwakuwa kuondoa uhai wa mtu ni sawa na kuua inzi !ni wapweke na hupenda kutenda kivyao ,mara nyingi hawaishi maisha ya kawaida maisha yao yamejaa matukio ya kutisha ,furaha yao ni moja tu kuwapa maumivu wengine kimwili na kihisia,
Ni wabinafsi mno na hawana chembe ya huruma wanapotaka chao kazi zao mara nyingi ni kukodishwa kuua au kutesa , wengi ni waajiriwa wa intelligence units nyingi duniani au magenge ya wauza madawa na vikundi vya waasi,
Usiombe ukakutana na watu wa namna hii,