[emoji23] [emoji23] Wanawake huwa mkiolewa mnajisahau sana, wengi wenu mnataka kuishi maisha yaleyale ya enzi za Uchumba . Ndoa inahitaji uvumilivuMlikaa kwenye uhusiano muda gani na ulimuoa sababu ipi
Tatizo wengi wenu mnataka toto jeupeee shepu hilo mara shombeshombe masela wakupigie salute wakina asha ngedere wamewavumilia tangu chuo mnanuka vikwapa hata deodorant hamjui manawapiga chenga na kujirusha na wadada wa mjini madai watafutaji kumbe wadangaji
Wanawake wa Kigalatia wanajivunia Cheti cha kanisani. Siku nimefikia mwisho wa uvumilivu asifikiri hata nitamtaarifu nitamtoa mkuku na masanduku yake[emoji23] [emoji23] Wanawake huwa mkiolewa mnajisahau sana, wengi wenu mnataka kuishi maisha yaleyale ya enzi za Uchumba . Ndoa inahitaji uvumilivu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Waswahili hawafai kuwatoa mkuku atapata kisinguzio cha kuachana na wewe hafu utajikuta umalisha na pesa nyingine anapata kupitia mgongo wa watoto, hapo unaanzisha ndoa nyingine tu hafu unakuwa unahesabu age za watoto wakivusha miaka 7 tu unawachukuaWanawake wa Kigalatia wanajivunia Cheti cha kanisani. Siku nimefikia mwisho wa uvumilivu asifikiri hata nitamtaarifu nitamtoa mkuku na masanduku yake
ASANTE MKUU. NITALIFANYIA KAZI HILI[emoji3] [emoji3] [emoji3] Waswahili hawafai kuwatoa mkuku atapata kisinguzio cha kuachana na wewe hafu utajikuta umalisha na pesa nyingine anapata kupitia mgongo wa watoto, hapo unaanzisha ndoa nyingine tu hafu unakuwa unahesabu age za watoto wakivusha miaka 7 tu unawachukua
umeongea maneno mazito sana.Mlikaa kwenye uhusiano muda gani na ulimuoa sababu ipi
Tatizo wengi wenu mnataka toto jeupeee shepu hilo mara shombeshombe masela wakupigie salute wakina asha ngedere wamewavumilia tangu chuo mnanuka vikwapa hata deodorant hamjui manawapiga chenga na kujirusha na wadada wa mjini madai watafutaji kumbe wadangaji
daah huu ushauri, naamini ni utani tuMpotezee huyo anza kutafuna housegirl (kwa siri)
Mlikaa kwenye uhusiano muda gani na ulimuoa sababu ipi
Tatizo wengi wenu mnataka toto jeupeee shepu hilo mara shombeshombe masela wakupigie salute wakina asha ngedere wamewavumilia tangu chuo mnanuka vikwapa hata deodorant hamjui manawapiga chenga na kujirusha na wadada wa mjini madai watafutaji kumbe wadangaji
watu wanashi wakiigiza ila akifika kunako ndoa anaishi masiha yake halisi ndo hayo ya ukorofi usio na tija na kumbadilisha ni kazi nzito ni kumuomba Mungu atende yakeMungu tusaidie katika hili. Chungu tunaiona. Inafika wakat unajuta hata kwa nn ulimuoa mtu huyu
Sasa hapo wa kuvumilia ni mwanamke au mwanaume?[emoji23] [emoji23] Wanawake huwa mkiolewa mnajisahau sana, wengi wenu mnataka kuishi maisha yaleyale ya enzi za Uchumba . Ndoa inahitaji uvumilivu
Hamna kitu kinakarahisha kama maneno yenuWanawake wa Kigalatia wanajivunia Cheti cha kanisani. Siku nimefikia mwisho wa uvumilivu asifikiri hata nitamtaarifu nitamtoa mkuku na masanduku yake
so mpaka aje kuchoma kisu ndani? ila hata mie simshauri kuachana nae ila zaidi arudi kwa MunguPole sana Mkuu hamna jinsi hapo ni kuvumiliana tu.
Pole sana mkuu,ndoa ina mambo mengi sana ila cha muhimu ni kuheshimiana,kupendana na kuelewana.Kama kuna mmoja wenu alifuata kitu kama madaraka au pesa za mwenzake ni ngumu kudumu katika ndoa.Baadhi ya Watu (bila kujali jinsia) kwa tabia zao hawakustahili kuolewa/kuoa.
1. Mtu ana-complain kila kitu hata kama ni cha maendeleo ya familia. 2. Anaweka vitu moyoni (hata kama uliomba msamaha na kujirekebisha) miaka na miaka. Siku akikumbuka utajuta kumjua.
*Ndoa ni chuo cha kuvumiliana na msamaha.
** Mola tupe busara kwenye ndoa hizi na wadada wa mwendokasi. Unaishi na mtu ana matusi utadhani hajafundishwa kwao.
Huu ndio kweli. Bila kusahau presha kutoka upande wa familia.Wasichana wengi wanaingia kwenye ndoa kwa fashen (wengi hawajiandaa).
Ukiingia badilika basiHuu ndio kweli. Bila kusahau presha kutoka upande wa familia.