and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,513
- 40,354
Unahisi kwann unahitaj akujibu swali lako??mama ako alistahili ndoa ?
Najitahidi sana Dada, miaka 6 sasa ila tuendako naweza kumpumzisha akatafute anaeweza kuvumilia matusi mpaka kifo kiwatenganishePole Joshua na wewe mvumilie hayo mapungufu yake
Mungu tusaidie katika hili. Chungu tunaiona. Inafika wakat unajuta hata kwa nn ulimuoa mtu huyu
uchaguzi uliofanya hukuwa sahihi.. ndiyo maana unakumbana nayoBaadhi ya Watu (bila kujali jinsia) kwa tabia zao hawakustahili kuolewa/kuoa.
1. Mtu ana-complain kila kitu hata kama ni cha maendeleo ya familia. 2. Anaweka vitu moyoni (hata kama uliomba msamaha na kujirekebisha) miaka na miaka. Siku akikumbuka utajuta kumjua.
*Ndoa ni chuo cha kuvumiliana na msamaha.
** Mola tupe busara kwenye ndoa hizi na wadada wa mwendokasi. Unaishi na mtu ana matusi utadhani hajafundishwa kwao.
sio lazima ajibuUnahisi kwann unahitaj akujibu swali lako??
Wagalatia wanaruhusiwa siku hiz kuongeza mke?ungeongeza mke wa pili tu