Kuna watu hawakustahili kufa

Halafu ujue huu uzi wa majonzi hebu tutoke humu...[emoji4]

Kwani mtu na shemeji yake wanatakiwa wazungumzie mikojo ipi?
Ndo maana nikauliza shem niwe ktk mstari unaotaka[emoji85]
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kwani nimesema nimekojoa mm?
[emoji16][emoji16]... nilichotaka kuandika mungu anakijua pekee...
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] sawa shem. Ujue mkuu aliyeleta katoka uparen soo tuwe makini duuuh[emoji85]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115]
 
hili suala lina uwanja mpana sana, imagine watu kama kina Kanumba, michael Jackson, mwalim nyerere, karume
 
kwa vile napenda sayansi kidogo natamani wangekuwepo kina tesla, newton, einstain, gallileo na wanasayansi wote
 
Zaburi 119:105
Neno lako ni taa ya miguu yangu na mwanga wa njia zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…