Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 717
- 1,536
Mzee baba ni nouma 😎Leo nilikua napitia baadhi ya website za taasisi zetu hapa nchini
moja ya taasisi kubwa tu ya IT juzi juzi hapa walifanya update ya system yao wakaongeza baadhi ya features na function mbalimbali
Kabla ya hayo maboresho, system yao ilikua moja ya website ngumu kupata loophole
Leo nimetest moja ya feature yao mpya walio add yani ni toooo easy to hack mtoto wa form 3 akipewa terminal ana hack, yani mtu una download database yote, kila kiku havi taarifa confidential
Moja ya table ilikua ya users hii ndo imenishikitisha ya password zao zipo hashed na sha-1??, ya nii hi SHA-1 tool kama john au Johnny zina crack hizo password dk3 na baadhi ya password zipo kwenye worldlist.txt, Nimekuta root/admin username zinatumia uki decrypt hizo hash unapata password kama pass2020
Inabidi watu wa advance aise lest ukitumia sha1 add tena na md5 inakua afadhali kidogo kuliko kutimia sha 1 pekeyake
Hebu weka link ya hiyo site hapa tuwabalaguze…
Hakuna IT Profesional na anaejitambua ataweza kufanya kazi Serikalini hadi Serikari itakapotambua umuhimu wa hiyo sekta na kuipa maslahi.Haya majamaa yanayadevelop website za serikali sijui yalisomea vyuo gani
Uliposema md5 nikaona na wewe ni walewale.Leo nilikua napitia baadhi ya website za taasisi zetu hapa nchini
moja ya taasisi kubwa tu ya IT juzi juzi hapa walifanya update ya system yao wakaongeza baadhi ya features na function mbalimbali
Kabla ya hayo maboresho, system yao ilikua moja ya website ngumu kupata loophole
Leo nimetest moja ya feature yao mpya walio add yani ni toooo easy to hack mtoto wa form 3 akipewa terminal ana hack, yani mtu una download database yote, kila kiku hadi taarifa confidential
Moja ya table ilikua ya users hii ndo imenishikitisha ya password zao zipo hashed na sha-1??, ya nii hi SHA-1 tool kama john au Johnny zina crack hizo password dk3 na baadhi ya password zipo kwenye worldlist.txt, Nimekuta root/admin username zinatumia uki decrypt hizo hash unapata password kama pass2020
Inabidi watu wa advance aise lest ukitumia sha1 add tena na md5 inakua afadhali kidogo kuliko kutimia sha 1 pekeyake
IT wa bongo kakamata mpini Stefano MtangooLeo nilikua napitia baadhi ya website za taasisi zetu hapa nchini
moja ya taasisi kubwa tu ya IT juzi juzi hapa walifanya update ya system yao wakaongeza baadhi ya features na function mbalimbali
Kabla ya hayo maboresho, system yao ilikua moja ya website ngumu kupata loophole
Leo nimetest moja ya feature yao mpya walio add yani ni toooo easy to hack mtoto wa form 3 akipewa terminal ana hack, yani mtu una download database yote, kila kiku hadi taarifa confidential
Moja ya table ilikua ya users hii ndo imenishikitisha ya password zao zipo hashed na sha-1??, ya nii hi SHA-1 tool kama john au Johnny zina crack hizo password dk3 na baadhi ya password zipo kwenye worldlist.txt, Nimekuta root/admin username zinatumia uki decrypt hizo hash unapata password kama pass2020
Inabidi watu wa advance aise lest ukitumia sha1 add tena na md5 inakua afadhali kidogo kuliko kutimia sha 1 pekeyake
Labda alimaanisha concatenation ya SHA1 na MD5. But why using hashes in 21st century?Uliposema md5 nikaona na wewe ni walewale.
IT wa Bongo hawana uwezo wa kupenya. Kama kapenya mpaka kwenye database hafai kuwa IT wa Bongo. IT wa bongo ni zero kabisa!IT wa bongo kakamata mpini Stefano Mtangoo
Kwahiyo kumbe wanaokota watu huko maporini na kuwapatia kazi nyeti kiasi hikiHakuna IT Profesional na anaejitambua ataweza kufanya kazi Serikalini hadi Serikari itakapotambua umuhimu wa hiyo sekta na kuipa maslahi.
seriously???Majuzi nimetoka ku rewrite from the ground up, administrative dashboard ya chuo fulani cha serikali...
Wao hawakujisumbua na hashing, passwords zote walizi store kama plain text, na admin alikua na uwezo wa ku edit passwords za users wote.
Chuo cha serikali.
Ndio Umeongea Ukweli huko hatuakiwi Wanataka vilazaHakuna IT Profesional na anaejitambua ataweza kufanya kazi Serikalini hadi Serikari itakapotambua umuhimu wa hiyo sekta na kuipa maslahi.
Ha haha, tuwasamehe tu mkuu. ku ujumla hii loophole nimeikuta kwenye QR codeHebu weka link ya hiyo site hapa tuwabalaguze…
Nilikua namaanisha hivi sha1(md5($pass))Uliposema md5 nikaona na wewe ni walewale.
Mbona bongo kuta IT wazuri sanaIT wa bongo kakamata mpini Stefano Mtangoo
Sema mkuu saivi tunaangalia possibility ya kupenya hadi kwenye serversIT wa Bongo hawana uwezo wa kupenya. Kama kapenya mpaka kwenye database hafai kuwa IT wa Bongo. IT wa bongo ni zero kabisa!
Nimesoma hizo hashing zipo vizuri personal hashing zangu output zake zipo hivi
dZSPIEGoYv4D2BPc3CbRiA$8$1$cA2yxRHOj7rDPV81tnmrVjRO1BQf2af4X8tg3YGOEyJQSMIZPgiOosVQHapvNrm0/UvtUxfugtlxaxWJYDaP6A==
msNpsGVZveMR2Ku75k4oDc$8$1$/8SBRH7b/XrQItDDnXwdQA/ICiyvG1JLRKHFMQ05H8H6Lmh/SbzgDl0jK9ZDt3ss2dVEB5DXEmZsGR28s0FLJw==
HexZH5I8pOuMFvkkxIBWtH$8$1$3gm+ghrlVWpARqFuy6PZX1oV1vBC70+NEQkWf67DTmxq0cQRUFd73tpeJZIA4wWh/Tfl2h+5d3zilzAoYLe53A==
website za chuo ndo haman kitu kabisaMajuzi nimetoka ku rewrite from the ground up, administrative dashboard ya chuo fulani cha serikali...