Kuna Wanyama Tasa/Shoga????

Kuna Wanyama Tasa/Shoga????

Arsenal

Senior Member
Joined
Aug 12, 2008
Posts
190
Reaction score
71
Jamani naombeni kuuliza koz kuuliza c ujinga!!

najua katika sisi binadamu ni kawaida kukuta mashoga na watu wasio na uwezo wa kuzalisha au kuzaa je hii pia iko kwa wanyama?? tunae ng`ombe au mbwa au ndege etc wenye ugonjwa au mapungufu aya? if not why not them too???
Naomba kuwakilisha!!!!!
 
Wanyama tasa, mahanisi, malaya,mabasha, ******* wapo ila hawatangazwi. Swaili jingine?
 
Ni kweli, hakuna haki duniani, kuna sheria tu; HAKI IKO KWA MUNGU.
 
jamani kuna topic zingine zinatia kichefuchefu...inakuwaje mtu anafikiria kwamba wanyama nao ni mashoga?
 
Watu wanaoishi shambani wanafahamu kwamba wapo wanyama mashoga. Hii mimi nimeona sungura wawili wanaume [katika cage]wanafanya mchezo mchafu.
 
Wapo sana tu, just Google it badala ya kuuliza maswali ya ajabu humu jukwani.
 
wapo wengi tu! fisiolojia ya uzazi(reproductive physiology) kwa mwanadamu na wanyama ni almost the same na kuna kundi la binadamu linaloingia kwenye ushoga kwa sababu za kifioloji so kwa maantiki hiyo na wanyama pia. mathalani pia hutokea kwa wanyama mfano zizi la ng'ombe madume tupu (mfano kwenye ranchi) au banda la majogoo tupu (breeding stock) ambapo madume/majogoo huwa na ukame wa ngono akitoke mwenzao mmoja kazubaa humfanya mke wao (bulling) (scenario kama ya magerezani) lakini kwa wanyama,anayefanyiwa mchezo huu katika mazingira haya huwa hadumu sana-anakufa maana hapo hakuna ustaaarabu.
 
Back
Top Bottom